MKUTANO WA 11 WA KUTATHMINI SEKTA YA AFYA WAFANYIKA ZANZIBAR

MKUTANO WA 11 WA KUTATHMINI SEKTA YA AFYA WAFANYIKA ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUTANO WA 11 WA KUTATHMINI SEKTA YA AFYA WAFANYIKA ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUTANO WA 11 WA KUTATHMINI SEKTA YA AFYA WAFANYIKA ZANZIBAR
kiungo : MKUTANO WA 11 WA KUTATHMINI SEKTA YA AFYA WAFANYIKA ZANZIBAR

soma pia


MKUTANO WA 11 WA KUTATHMINI SEKTA YA AFYA WAFANYIKA ZANZIBAR

 Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dkt,Jamala Adam Taibu akizungumza katika Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
 Muakilishi wa W,H,O Zanzibar Dkt,Ghirmany Andermichael akizungumza katika Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
 Katibu Mkuu Wizara ya  Afya Asha Ali Abdalla akitoahotuba yake katika Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja
 Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud akitoa hotuba ya ufunguzi katika Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja
 Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kufungua  Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
 Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud katikati akiwa na Naibu Waziri Wizara ya Afya Harusi Saidi Suleiman(kushoto yake)na Viongozi mbalimbali katika Picha ya pamoja katika hafla ya Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
 Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dkt,Jamala Adam Taibu akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya Ufunguzi wa Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
 Baadhi ya Wadau wa Sekta ya Afya waliohudhuria katika Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
Mtaalamu wa masuala ya Afya ya Uzazi kutoka shirika la UNFPA Zanzibar Batula Abdi akitoa mchango wake katika Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.

PICHA Na YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala MKUTANO WA 11 WA KUTATHMINI SEKTA YA AFYA WAFANYIKA ZANZIBAR

yaani makala yote MKUTANO WA 11 WA KUTATHMINI SEKTA YA AFYA WAFANYIKA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO WA 11 WA KUTATHMINI SEKTA YA AFYA WAFANYIKA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mkutano-wa-11-wa-kutathmini-sekta-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKUTANO WA 11 WA KUTATHMINI SEKTA YA AFYA WAFANYIKA ZANZIBAR"

Post a Comment