MAKATIBU WA WABUNGE MAJIMBONI WAPATIWA MAFUNZO

MAKATIBU WA WABUNGE MAJIMBONI WAPATIWA MAFUNZO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKATIBU WA WABUNGE MAJIMBONI WAPATIWA MAFUNZO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKATIBU WA WABUNGE MAJIMBONI WAPATIWA MAFUNZO
kiungo : MAKATIBU WA WABUNGE MAJIMBONI WAPATIWA MAFUNZO

soma pia


MAKATIBU WA WABUNGE MAJIMBONI WAPATIWA MAFUNZO

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu kutoka Ofisi ya Bunge Ndugu Jane Kajiru akifungua mafunzo  kwa makatibu wa waheshimiwa wabunge majimboni kwa ajili ya kujengewa uwezo wa kutekeleza majukumu yao.mafunzo hayo yametolewa  na Ofisi ya Bunge chini ya mradi wa kulijengea Bunge Uwezo (LSP II) unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), kushoto kwake  ni Mratibu wa Mradi wa LSP II Ndugu Mary Lasway.
 Mtaalamu kutoa Chuo cha Utumishi wa Umma , Ndugu Dorah Chenyambuga akitoa mada kuhusu utunzaji wa nyaraka, uendeshaji wa ofisi, ufuatiliaji na tathimini kwa makatibu wa waheshimiwa wabunge majimboni. Mafunzo hayo yametolewa  na Ofisi ya Bunge chini ya mradi wa kulijengea Bunge Uwezo (LSP II) unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
 Baadhi ya makatibu wa waheshimiwa wabunge majimboni wakipatiwa mafunzo ya kujengewa uwezo.mafunzo hayo yaliyofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma yametolewa  na Ofisi ya Bunge chini ya mradi wa kulijengea Bunge Uwezo (LSP II) unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).


Hivyo makala MAKATIBU WA WABUNGE MAJIMBONI WAPATIWA MAFUNZO

yaani makala yote MAKATIBU WA WABUNGE MAJIMBONI WAPATIWA MAFUNZO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKATIBU WA WABUNGE MAJIMBONI WAPATIWA MAFUNZO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/makatibu-wa-wabunge-majimboni-wapatiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKATIBU WA WABUNGE MAJIMBONI WAPATIWA MAFUNZO"

Post a Comment