MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MKALAMA MKOANI SINGIDA

MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MKALAMA MKOANI SINGIDA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MKALAMA MKOANI SINGIDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MKALAMA MKOANI SINGIDA
kiungo : MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MKALAMA MKOANI SINGIDA

soma pia


MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MKALAMA MKOANI SINGIDA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa kijiji cha Ibaga wilaya ya Mkalama ambao waliusimamisha msafara wake kwa lengo la kumsalimu ,Makamu wa Rais yupo kwenye ziara ya kikazi mkoani Singida. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Naibu Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso akijibu hoja za wananchi wa Ibaga (hawapo pichani) wakati wa ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Wilaya ya Mkalama mkoani Singida. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi(wa pili kulia) wakati wa ukaguzi wa daraja la Sibiti  ambalo limekamilika kwa asilimia 94.8%.
 Muonekano wa daraja la Sibiti ambalo kwa mujibu wa taarifa za Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) walizozitoa wakati wa ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassa ambapo wamesema ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 94.8%. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa daraja la Sibiti kutoka kwa Kaimu Meneja Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Singida Mhandisi Matari J. Masige (kushoto) ambalo limekamilika kwa asilimia 94.8%,kulia ni Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 Naibu Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu akimsalimia Lailat Ramadhani mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari ya Iguguno wakati wa ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mkoani Singida. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)



Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MKALAMA MKOANI SINGIDA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MKALAMA MKOANI SINGIDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MKALAMA MKOANI SINGIDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/makamu-wa-rais-afanya-ziara-wilayani_19.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MKALAMA MKOANI SINGIDA"

Post a Comment