title : Katibu Mkuu jumuiya ya Wazazi ya CCM ziarani kisiwani Pemba
kiungo : Katibu Mkuu jumuiya ya Wazazi ya CCM ziarani kisiwani Pemba
Katibu Mkuu jumuiya ya Wazazi ya CCM ziarani kisiwani Pemba
Katibu mkuu wa jumuiya ya wazazi Taifa, Edmund B.Mdolwa, akizunzungumza na baadhi ya Viongozi wa jumuiya hiyo wakati wa ziara yake ya kikazi Kisiwani Pemba.
Picha na Jamila Abdalla -Maelezo Pemba.
Katibu mkuu wa Jumuiya ya wazazi Taifa, Edmund B.Mdolwa, akivikwa Skafu na Vijana wa CCM Kisiwani Pemba, baada ya kuwasili katika kiwanja cha ndege cha Karume Pemba, kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Katibu mkuu wa jumuiya ya wazazi Taifa, Edmund B.Mdolwa, akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba, Hemed Suleiman Abdalla, baada ya kuwasili katika kiwanja cha ndege cha Karume Pemba kwa ziara ya kikazi.
Hivyo makala Katibu Mkuu jumuiya ya Wazazi ya CCM ziarani kisiwani Pemba
yaani makala yote Katibu Mkuu jumuiya ya Wazazi ya CCM ziarani kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Katibu Mkuu jumuiya ya Wazazi ya CCM ziarani kisiwani Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/katibu-mkuu-jumuiya-ya-wazazi-ya-ccm.html
0 Response to "Katibu Mkuu jumuiya ya Wazazi ya CCM ziarani kisiwani Pemba"
Post a Comment