title : JK Aongoza Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria
kiungo : JK Aongoza Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria
JK Aongoza Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria
Kufuatia kukamilika kwa hatua ya kupiga kura na kuanza kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa Nigeria, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Tanzania na Kiongozi wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria ametoa taarifa yake ya awali ya uchaguzi huo inayopatikana kupitia link hapa chini: http://www.thecommonwealth.org /sites/default/files/inline/ Interim%20Statement%20of% 20the%20Commonwealth%20Observe r%20Group%20Draft%20-%2025% 20Feb%20Final%20Interim%20Stat ement%20PDF.pdf
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Tanzania na Kiongozi wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria akitoa ripoti ya awali ya jumuiya hiyo
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Tanzania na Kiongozi wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria akiangalia makarani kabla ya zoezi la upigaji kura kuanza mjini Abuja Februari 23, 2019
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Tanzania na Kiongozi wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria akiangalia wasimamizi wa upigaji kura kuanza mjini Abuja Februari 23, 2019
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Tanzania na Kiongozi wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria akiongea na wapiga kura wenye ulemavu wa majo wakati wa upigaji kura mjini Abuja Februari 23, 2019
Hivyo makala JK Aongoza Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria
yaani makala yote JK Aongoza Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JK Aongoza Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/jk-aongoza-ujumbe-wa-waangalizi-wa.html
0 Response to "JK Aongoza Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nigeria"
Post a Comment