Fundi magari Tabata akabidhiwa bodaboda yake kutoka biko

Fundi magari Tabata akabidhiwa bodaboda yake kutoka biko - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Fundi magari Tabata akabidhiwa bodaboda yake kutoka biko, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Fundi magari Tabata akabidhiwa bodaboda yake kutoka biko
kiungo : Fundi magari Tabata akabidhiwa bodaboda yake kutoka biko

soma pia


Fundi magari Tabata akabidhiwa bodaboda yake kutoka biko

Fundi magari mwenye maskani yake Tabata jijini Dar es Salaam, Saimon Mushi, amekabidhiwa bodaboda yake aliyoshinda jana kwenye droo kubwa ya Jumatamu Jenga, huku akishinda sambamba na wenzake watano kutoka kwenye bahati nasibu hiyo, ambapo washindi wawili waliibuka na bodaboda na sh milioni moja huku wengine wanne wakishinda mamilioni ya wapendanao.

Makabidhiano hayo yamefanyika jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Mratibu Msaidizi wa Matukio wa Biko Hassan Ahmed.Akizungumza katika makabidhiano hayo, fundi huyo aliishukuru Biko kwa kumkabidhi bodaboda yake akisema kuwa itamsaidia kwa kiasi kikubwa katika maisha yake kwa namna moja aka nyingine.

Kucheza Biko sasa ni kuanzia sh 500 na sh 1000 na kuendelea, huku ushindi wake ukianzia sh 1000 hadi sh 100000 kwa watakaocheza sh 500 hadi sh 9500 wakati watakaocheza kwa sh 1000 na kuendelea, mchezaji anaweza kujishindia zawadi ya papo kwa hapo kuanzia sh 5000 hadi sh milioni moja bila kusahau wote kuingia kwenye droo kubwa ya Jumatano na Jumapili.

Bahati nasibu ya Biko inachezwa kwa mitandao ya simu minne ambayo ni Tigo Pesa, M-Pesa, Artel Money na HaloPesa, ambapo namba ya Kampuni ni 505050 na kumbukumbu namba 2456, huku Watanzania wakiweza kujishindia zawadi kubwa katika droo ya Jumatano na Jumapili.
 Mshindi wa bodaboda na sh milioni moja kutoka bahati nasibu ya Biko wa droo ya 179, Saimon Mushi wa Tabata jijini Dar es Salaam, akipokea bodaboda yake aliyoshinda kwenye droo kubwa iliyofanyika Jumatano, maarufu kama Jumatano Jenga ambapo washindi sita walipatikana wakiwamo wa mamilioni na wawili wa bodaboda. Makabidhiano hayo yameongozwa na Mratibu Msaidizi wa matukio wa biko Hassan Ahmed. Picha na Mpigapicha Wetu.
 


Hivyo makala Fundi magari Tabata akabidhiwa bodaboda yake kutoka biko

yaani makala yote Fundi magari Tabata akabidhiwa bodaboda yake kutoka biko Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Fundi magari Tabata akabidhiwa bodaboda yake kutoka biko mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/fundi-magari-tabata-akabidhiwa-bodaboda.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Fundi magari Tabata akabidhiwa bodaboda yake kutoka biko"

Post a Comment