CCM YAWAONYA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO WAJIBIKA,YAAHIDI KUTOWARUDISHA KATIKA UCHAGUZI WA 2019

CCM YAWAONYA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO WAJIBIKA,YAAHIDI KUTOWARUDISHA KATIKA UCHAGUZI WA 2019 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CCM YAWAONYA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO WAJIBIKA,YAAHIDI KUTOWARUDISHA KATIKA UCHAGUZI WA 2019, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CCM YAWAONYA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO WAJIBIKA,YAAHIDI KUTOWARUDISHA KATIKA UCHAGUZI WA 2019
kiungo : CCM YAWAONYA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO WAJIBIKA,YAAHIDI KUTOWARUDISHA KATIKA UCHAGUZI WA 2019

soma pia


CCM YAWAONYA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO WAJIBIKA,YAAHIDI KUTOWARUDISHA KATIKA UCHAGUZI WA 2019

Akiwa katika ziara ya Kata kwa kata ya uhuishaji wa hai wa Chama na ukaguzi wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi Mkuu ya CCM ya Mwaka 2015 – 2020 Mkoa wa Arusha, Wilaya ya Arusha Mjini katika Kata za Engutoto, Lemara, Muriet, Terrat, Olasiti na Osunyai Ndg. Humphrey Polepole Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi amesema CCM inawaonya viongozi wake wote wa Serikali za Mitaa wasiowajibika kusoma mapato na matumizi na chama kimeahidi kutowarudisha katika uchaguzi wa serikali za mitaa Mwaka huu 2019.

Akifafanua suala hilo Ndg. Polepole amesema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa viongozi wote wasiowajibika, wasio soma mapato na matumizi kwa mujibu wa sheria, wenye tabia za kupokea au kutoa rushwa Chama hakitawavumilia na hawatapewa fursa ya kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019.

"Tunaposimamisha wagombea wa CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa wa 2019 tunahitaji watu mwenye tabia nzuri, waaminifu, wanyenyekevu, wachapakazi, wapole lakini wakali kwenye mambo ya hovyo na wanaokubalika kwa watu” amesisitiza Ndg. Polepole

Aidha akiwa katika ziara hiyo Ndg. Polepole amekagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa jengo la cha Wagonjwa wa Nje (OPD) la hospitali ya Wilaya ya Arusha Jiji lililopo katika Kata Engutoto, Ujenzi wa barabara kuu ya mchepuko (kilometa 42. 4 kwa kiwango cha lami) yenye madaraja 7, ujenzi wa maabara  katika shule ya Sekondari Terrati katika Kata ya Muriet, Ujenzi wa madarasa manne katika shule ya msingi muriet Darajani na ujenzi wa barabara ya Sombetini FFU yenye urefu wa kilometa 2.1 kwa kiwango cha lami.

Huu ni muendelezo wa Ziara za ujenzi wa Chama na ukaguzi wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi Mkuu ya Mwaka 2015 – 2020.

Imetolewa na,
IDARA YA ITIKADI NA UENEZI
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM


Hivyo makala CCM YAWAONYA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO WAJIBIKA,YAAHIDI KUTOWARUDISHA KATIKA UCHAGUZI WA 2019

yaani makala yote CCM YAWAONYA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO WAJIBIKA,YAAHIDI KUTOWARUDISHA KATIKA UCHAGUZI WA 2019 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CCM YAWAONYA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO WAJIBIKA,YAAHIDI KUTOWARUDISHA KATIKA UCHAGUZI WA 2019 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/ccm-yawaonya-viongozi-wa-serikali-za.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CCM YAWAONYA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO WAJIBIKA,YAAHIDI KUTOWARUDISHA KATIKA UCHAGUZI WA 2019"

Post a Comment