title : BREAKING NEWS: Wema Sepetu afunguliwa rasmi na bodi ya filamu
kiungo : BREAKING NEWS: Wema Sepetu afunguliwa rasmi na bodi ya filamu
BREAKING NEWS: Wema Sepetu afunguliwa rasmi na bodi ya filamu
Kufatia bodi ya filamu kumfungia msanii wa Bongo Movie Wema Sepetu kutojihusisha na kazi za filamu kwa muda usiojulikana kutokana na video iliyosambaa ya kukiuka maadili ya kitanzania.
Leo bodi hiyo imemfungulia msanii huyo kuendelea na kazi zake za sanaa kutokana na kujidhihirisha pamoja na masharti waliyompatia kuyatekeleza na kuhaidi kujirekebisha.
Taarifa kamili inakuijia hivi punde
Hivyo makala BREAKING NEWS: Wema Sepetu afunguliwa rasmi na bodi ya filamu
yaani makala yote BREAKING NEWS: Wema Sepetu afunguliwa rasmi na bodi ya filamu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS: Wema Sepetu afunguliwa rasmi na bodi ya filamu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/breaking-news-wema-sepetu-afunguliwa.html
0 Response to "BREAKING NEWS: Wema Sepetu afunguliwa rasmi na bodi ya filamu"
Post a Comment