BOTI ILIOTENGENEZWA KWA PLASTIKI NCHINI KENYA YAWASILI ZANZIBAR.

BOTI ILIOTENGENEZWA KWA PLASTIKI NCHINI KENYA YAWASILI ZANZIBAR. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BOTI ILIOTENGENEZWA KWA PLASTIKI NCHINI KENYA YAWASILI ZANZIBAR., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BOTI ILIOTENGENEZWA KWA PLASTIKI NCHINI KENYA YAWASILI ZANZIBAR.
kiungo : BOTI ILIOTENGENEZWA KWA PLASTIKI NCHINI KENYA YAWASILI ZANZIBAR.

soma pia


BOTI ILIOTENGENEZWA KWA PLASTIKI NCHINI KENYA YAWASILI ZANZIBAR.

Boti ya Beach Clianup iliotengenezwa kwa Plastiki iliowasili Zanzibar ikitokea Nchini Kenya ambayo imebeba Ujumbe wa Kuhifadhi mazingira ikiwa katika Bandari ya Malindi mjini Zanzibar.
Nahodha Muundaji wa Boti ya Plastiki Ali Abdalla Ali(SKANDA)akisalimiana na Wananchi wa Zanzibar na kuwapa ujumbe wa kuhifadhi mazingira katika hafla iliofanyika Bustani ya Forodhani ya kuipokea Boti iliotengenezwa kwa Plastiki iliobeba ujumbe wa kuhifadhi mazingira iliowasili Zanzibar ikitokea nchini Kenya.
Rais wa Baraza la Mazingira Duniani Siim Kiisler akitoa hotuba kuhusiana na Mazingira katika hafla iliofanyika Bustani ya Forodhani ya kuipokea Boti iliotengenezwa kwa Plastiki iliobeba ujumbe wa kuhifadhi mazingira iliowasili Zanzibar ikitokea nchini Kenya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed akitoa hotuba kuhusiana na kuhifadhi mazingira mara baada ya kuipokea Boti iliotengenezwa kwa Plastiki iliobeba ujumbe wa kuhifadhi mazingira iliowasili Zanzibar ikitokea nchini Kenya.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Marina Joel Thomas katikati akiwapamoja na viongozi mbalimbali wakifanya usafi wa mazingira kuondosha Chupa na Mifuko ya Plastiki na uchafu mwengine katika ufukwe wa Bahari ya Forodhani katika hafla ya kuipokea Boti iliotengenezwa kwa Plastiki iliobeba ujumbe wa kuhifadhi mazingira iliowasili Zanzibar ikitokea nchini Kenya.
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Marina Joel Thomas akizungumza na Wananchi na Vikundi mbalimbali vilivyoshiriki Usafi wa Mazingira katika ufukwe wa Bahari ya Forodhani katika hafla ya kuipokea Boti iliotengenezwa kwa Plastiki iliobeba ujumbe wa kuhifadhi mazingira iliowasili Zanzibar ikitokea nchini Kenya.


Hivyo makala BOTI ILIOTENGENEZWA KWA PLASTIKI NCHINI KENYA YAWASILI ZANZIBAR.

yaani makala yote BOTI ILIOTENGENEZWA KWA PLASTIKI NCHINI KENYA YAWASILI ZANZIBAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BOTI ILIOTENGENEZWA KWA PLASTIKI NCHINI KENYA YAWASILI ZANZIBAR. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/boti-iliotengenezwa-kwa-plastiki-nchini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BOTI ILIOTENGENEZWA KWA PLASTIKI NCHINI KENYA YAWASILI ZANZIBAR."

Post a Comment