WAZIRI WA MADINI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA TEITI

WAZIRI WA MADINI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA TEITI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI WA MADINI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA TEITI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI WA MADINI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA TEITI
kiungo : WAZIRI WA MADINI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA TEITI

soma pia


WAZIRI WA MADINI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA TEITI

Waziri wa Madini Doto Biteko, Januari 29, 2019, alikutana na Mwenyekiti wa Taasisi ya Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi asilia (TEITI), Ludovick Utouh, ofisini kwake Jijini Dodoma. Lengo likiwa ni kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na utekelezaji wa majukumu ya TEITI nchini.
Mkutano ukiendelea
Waziri wa Madini Doto Biteko akiagana na Mwenyekiti wa Taasisi ya Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi asilia (TEITI), Ludovick Utouh alipofika ofisini kwake Jijini Dodoma. Lengo likiwa ni kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na utekelezaji wa majukumu ya TEITI nchini.
Waziri wa Madini Doto Biteko(wa pili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi asilia (TEITI), Ludovick Utouh(wa pili kushoto)  alipofika ofisini kwake Jijini Dodoma. Lengo likiwa ni kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na utekelezaji wa majukumu ya TEITI nchini. Wa kwanza kushoto ni Naibu waziri wa Madini, Staslaus Nyongo 


Hivyo makala WAZIRI WA MADINI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA TEITI

yaani makala yote WAZIRI WA MADINI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA TEITI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA MADINI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA TEITI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-wa-madini-afanya-mazungumzo-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI WA MADINI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA TEITI"

Post a Comment