title : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Afungua Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Jijini Dodoma.
kiungo : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Afungua Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Afungua Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza mtoto, Hussein Jailal (kushoto) wakati alipotoa ushuhuda kwa niaba ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi katika Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara, uliofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipoingia kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiniDodoma kufungua mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Mkutano huo kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Mkutano huo kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Januari 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Afungua Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Jijini Dodoma.
yaani makala yote Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Afungua Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Jijini Dodoma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Afungua Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Jijini Dodoma. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-mkuu-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_30.html
0 Response to "Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Afungua Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Jijini Dodoma."
Post a Comment