Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana na Ujumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi Katika Utumishi wa Umma.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana na Ujumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi Katika Utumishi wa Umma. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana na Ujumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi Katika Utumishi wa Umma., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana na Ujumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi Katika Utumishi wa Umma.
kiungo : Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana na Ujumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi Katika Utumishi wa Umma.

soma pia


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana na Ujumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi Katika Utumishi wa Umma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi katika Utumishi wa Umma, kwenye Makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Januari 24, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi  katika Utumishi wa Ummam, kwenye  Makazi ya Waziri  Mkuu jiji Dar es salaam, Januari 24, 2019. Kutoka kushoto ni  Mwanasheria wa Bodi, Dkt. Charles Kato, Katibu Msaidizi wa Bodi, Fortatus Mbiro, Mwenyekiti wa Bodi, Donald Ndagula, Mjumbe wa Bodi, George Mlawa na Katibu Mtendaji wa Tume, Mariam Mwaniulwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjumbe wa Bodi ya  Mishahara na Maslahi  katika Utumishi  wa Umma, George Mlawa baada ya mazungumzo na wajumbe wa Bodi hiyo kwenye Makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Januari 24, 2019. Wengine kutoka kushoto ni  Mwanasheria wa Bodi, Dkt. Charles Kato, Katibu Msaidizi wa Bodi, Fortatus Mbiro, Mwenyekiti wa Bodi, Donald Ndagula na Katibu Mtendaji wa Tume, Mariam Mwaniulwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa  amekutana na kufanya mazungumzo wa wajumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi katika Utumishi wa Umma na ameitaka ifanye kazi kwa weledi.

Ameiagiza ifanye marekebisho ya maslahi kulingana na mazingira ya mtumishi, akitolea mfano kada za elimu, afya, kilimo na mifugo ili yalingane na kazi wanazozifanya.

Amekutana na wajumbe wa bodi hiyo leo (Alhamisi,Januari 24, 2019) katika kikao kilichofanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu amesema Serikali ina nia njema ya kuhakikisha mishara na maslahi ya watumishi wa umma nchini yanaboreshwa, hivyo ameiagiza bodi hiyo ifanye kazi kwa bidii.

Amesema Serikali imeunda bodi hiyo ili kupata ushauri utakaotokana na tathmini sahihi ya nini Serikali inatakakiwa kufanya ili kuboresha utendaji wa watumishi wa umma nchini.

Serikali inaimani kubwa na wajumbe wote wa bodi hiyo kutokana na uzoefu walionao kwenye  utumishi wa umma.

“Tunataka muongozo mzuri wa kuwafanya watumishi wa umma wafanye kazi yao kwa waledi bila ya kuwa na vishawishi vya aina yoyote ikiwemo kuomba na kupokea rushwa.”


Amesema Serikali inataka kila mtumishi wa umma anawajibika ipasavyo katika kuwatumikia wananchi mambo ambayo yatakuwa yameimarishwa kutokana na upatikanaji wa maslahi mazuri.



Hivyo makala Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana na Ujumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi Katika Utumishi wa Umma.

yaani makala yote Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana na Ujumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi Katika Utumishi wa Umma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana na Ujumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi Katika Utumishi wa Umma. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-akutana-na_24.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana na Ujumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi Katika Utumishi wa Umma."

Post a Comment