title : WAZIRI MAMBO YA NCHI ZA NJE UJERUMAN HEIKO MAAS AFANYA ZIARA MJINI MOSCOW
kiungo : WAZIRI MAMBO YA NCHI ZA NJE UJERUMAN HEIKO MAAS AFANYA ZIARA MJINI MOSCOW
WAZIRI MAMBO YA NCHI ZA NJE UJERUMAN HEIKO MAAS AFANYA ZIARA MJINI MOSCOW
WAZIRI wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ujerumani, Heiko Maas yuko ziarani mjini Moscow kwa mazungumzo pamoja na
Waziri mwenzake Sergei Lawrov kuhusu mzozo wa Ukraine na vita nchini Syria.
Kwa mujibu wa DW ni kwamba mvutano kati ya Urusi na Ukraine umezidi makali mnamo siku za hivi karibuni baada
ya korti moja ya mjini Moscow kurefusha hadi kati kati ya mwezi wa April unaokuja, muda wa kushikiliwa kizuwizini
wanamaji 24 wa Ukraine waliokamatwa mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka jana .
Baada ya mazungumzo yake mjini Moscow, Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ujerumani Heiko Maas amepangiwa
kwenda Kiew baadae leo kwa mazungumzo pamoja na waziri mwenzake Pawel Klimkin.
CHANZO-DW
Hivyo makala WAZIRI MAMBO YA NCHI ZA NJE UJERUMAN HEIKO MAAS AFANYA ZIARA MJINI MOSCOW
yaani makala yote WAZIRI MAMBO YA NCHI ZA NJE UJERUMAN HEIKO MAAS AFANYA ZIARA MJINI MOSCOW Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MAMBO YA NCHI ZA NJE UJERUMAN HEIKO MAAS AFANYA ZIARA MJINI MOSCOW mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-mambo-ya-nchi-za-nje-ujeruman.html
0 Response to "WAZIRI MAMBO YA NCHI ZA NJE UJERUMAN HEIKO MAAS AFANYA ZIARA MJINI MOSCOW"
Post a Comment