WATUMIA DAWA YA ARV BILA KUPIMA UKIMWI.

WATUMIA DAWA YA ARV BILA KUPIMA UKIMWI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATUMIA DAWA YA ARV BILA KUPIMA UKIMWI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATUMIA DAWA YA ARV BILA KUPIMA UKIMWI.
kiungo : WATUMIA DAWA YA ARV BILA KUPIMA UKIMWI.

soma pia


WATUMIA DAWA YA ARV BILA KUPIMA UKIMWI.













Mkurugenzi mkuu wa Tume ya Kupambana na Ukimwi Tanzania (Tacaids), Dk Leonard Maboko amesema Watanzania wengi wana mwamko wa kutumia dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi (ARV) kuliko kujua hali zao.

Dk Maboko alibainisha hayo jana wakati akizindua mpango mkakati wa miaka mitano wa taasisi ya kupambana na maambukizi ya virusi vya Ukimwi ya Agpahi.

“Takwimu zilizopo zinaonyesha kuwa asilimia 90 ya wajawazito wanajua hali zao kati yao, asilimia 98 wanatumia dawa za ARV. Hata hivyo, utafiti uliofanyika ilibainika kuna watu hawajui hali zao lakini walipopimwa damu zilionyesha tayari wanatumia ARV,” alisema.

Awali, mkurugenzi mtendaji wa Agpahi, Dk Sekela Mwakyusa alisema kupitia mpango huo wanatarajia kupanua wigo wa huduma ili kufika maeneo mengi zaidi na kuhakikisha maambukizi kwa watoto wanaozaliwa yanakoma.


Hivyo makala WATUMIA DAWA YA ARV BILA KUPIMA UKIMWI.

yaani makala yote WATUMIA DAWA YA ARV BILA KUPIMA UKIMWI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATUMIA DAWA YA ARV BILA KUPIMA UKIMWI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/watumia-dawa-ya-arv-bila-kupima-ukimwi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WATUMIA DAWA YA ARV BILA KUPIMA UKIMWI."

Post a Comment