Wakazi wa Dodoma watakiwa kuchangamkia fursa ujenzi wa Mji wa Serikali

Wakazi wa Dodoma watakiwa kuchangamkia fursa ujenzi wa Mji wa Serikali - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wakazi wa Dodoma watakiwa kuchangamkia fursa ujenzi wa Mji wa Serikali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wakazi wa Dodoma watakiwa kuchangamkia fursa ujenzi wa Mji wa Serikali
kiungo : Wakazi wa Dodoma watakiwa kuchangamkia fursa ujenzi wa Mji wa Serikali

soma pia


Wakazi wa Dodoma watakiwa kuchangamkia fursa ujenzi wa Mji wa Serikali


Na Teresia Mhagama, Dodoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt Hamisi Mwinyimvua amewaasa wakazi wa Mkoa wa Dodoma kuchangamkia fursa za kazi za ujenzi zinazoendelea katika Mji wa Serikali uliopo Ihumwa jijini Dodoma.

Katibu Mkuu ameyasema hayo leo jijini Dodoma baada ya kukagua kazi ya ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati ambapo aliambatana na Kaimu Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga, Mkurugenzi wa Sera na Mipango, Wizara ya Nishati, Haji Janabi pamoja na wajumbe wa Kamati ya ujenzi huo wakiongozwa na Katibu wa Kamati, Maseke Mabiki.

Akiwa katika eneo hilo la ujenzi, Mhandisi Peter Mwaisabula kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) amemweleza Katibu Mkuu kuwa, kazi za ujenzi zinaendelea usiku na mchana lakini kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa vibarua wa kutosha watakaoweza kuf anya kazi muda wote.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt Hamisi Mwinyimvua (aliyenyoosha mkono) akiangalia jinsi kazi za ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati unavyoendelea katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni Kaimu Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga na kushoto kwa Katibu Mkuu ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango, Wizara ya Nishati, Haji Janabi.
 Kazi za ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati zikiendelea katika Mji wa Serikali, Ihumwa jijini Dodoma.
Mhandisi Peter Mwaisabula kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) (wa kwanza kushoto), akitoa maelezo kuhusu ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati unaoendelea jijini Dodoma . Wanaosikiliza ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt Hamisi Mwinyimvua (wa pili kushoto) na Wajumbe wa Kamati ya Ujenzi ya Wizara ya Nishati.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Wakazi wa Dodoma watakiwa kuchangamkia fursa ujenzi wa Mji wa Serikali

yaani makala yote Wakazi wa Dodoma watakiwa kuchangamkia fursa ujenzi wa Mji wa Serikali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wakazi wa Dodoma watakiwa kuchangamkia fursa ujenzi wa Mji wa Serikali mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/wakazi-wa-dodoma-watakiwa-kuchangamkia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wakazi wa Dodoma watakiwa kuchangamkia fursa ujenzi wa Mji wa Serikali"

Post a Comment