WAJASILIAMALI WATAKIWA KUONGEZA THAMANI YA BIDHAA ZAO

WAJASILIAMALI WATAKIWA KUONGEZA THAMANI YA BIDHAA ZAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAJASILIAMALI WATAKIWA KUONGEZA THAMANI YA BIDHAA ZAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAJASILIAMALI WATAKIWA KUONGEZA THAMANI YA BIDHAA ZAO
kiungo : WAJASILIAMALI WATAKIWA KUONGEZA THAMANI YA BIDHAA ZAO

soma pia


WAJASILIAMALI WATAKIWA KUONGEZA THAMANI YA BIDHAA ZAO

Na Woinde Shizza Globu ya jamii ,Arusha.

Wanawake wajasiliamali nchini wametakiwa kuongeza thamani bidhaa
wanazozizalisha pamoja na kuboresha vifungashio ,ili  kuhimili
ushindani wa soko la ndani na nje ya nchi


Hayo yameelezwa na Meneja wa Sido Mkoani Arusha Linah Nchimbi katika
semina maalumu ya wanawake wajasiriamali iliyofanyika jijini Arusha na
kuandaliwa na kituo cha redio cha Arusha one FM kupitia mpango wao wa
Jipange Mwanamke 2019.

Meneja Huyo amesema kuwa bidhaa za wajasiliamali zinaweza kupata soko
kubwa iwapo zitaongezwa thamani na kufungashwa vizuri .

Meneja Miradi wa Radio Arusha One FM,Fredrick John Amesema kuwa
mpango huo unalenga kuwasaidia wajasiriamali wadogo ambao wamekua
wakijikwamua kwa kuwapa elimu ya masoko na jinsi ya kupanga bajeti.

Mratibu wa Mafunzo hayo ya Jipange Mwanamke 2019 ,Jamilah Mohammed
amesema kuwa wanatarajia kuwafikia wanawake wengi na kuwapa ujuzi wa kibiashara utakaoongeza thamani kwenye biashara zao.

Rukia Wiliam ambaye ni mjasiliamali anayejishulisha na uuzaji wa
vitafunwa aina ya vitumbua amesema kupitia biashara yake ndogo ameweza
kujenga nyumba nzuri ya kuisha na kwa sasa ana mpango wa kuanzisha
biashara nyingine hivyo maarifa hayo yatamuwezesha kukua kibiashara.

Mfanyabiashara anayeuza dagaa Advesta Christopher amesema kuwa
amehudhuria Mafunzo hayo ili kujua namna ya kuweka bajeti kuanzia
kwenye familia hadi kwenye biashara ili kukua kiuchumi .
Wajasiliamali wakiendelea na biashra ya bidhaa zao 



Hivyo makala WAJASILIAMALI WATAKIWA KUONGEZA THAMANI YA BIDHAA ZAO

yaani makala yote WAJASILIAMALI WATAKIWA KUONGEZA THAMANI YA BIDHAA ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAJASILIAMALI WATAKIWA KUONGEZA THAMANI YA BIDHAA ZAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/wajasiliamali-watakiwa-kuongeza-thamani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAJASILIAMALI WATAKIWA KUONGEZA THAMANI YA BIDHAA ZAO"

Post a Comment