WAISLAM DAR WAADDHIMISHA MAULIDI YA MAZAZI YA MTUME .

WAISLAM DAR WAADDHIMISHA MAULIDI YA MAZAZI YA MTUME . - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAISLAM DAR WAADDHIMISHA MAULIDI YA MAZAZI YA MTUME ., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAISLAM DAR WAADDHIMISHA MAULIDI YA MAZAZI YA MTUME .
kiungo : WAISLAM DAR WAADDHIMISHA MAULIDI YA MAZAZI YA MTUME .

soma pia


WAISLAM DAR WAADDHIMISHA MAULIDI YA MAZAZI YA MTUME .





Waumini wa Dini ya kiislam nchini, wamefanya hafla ya Maulid ya Kuadhimisha Mazazi ya Mtume Mohamed (S.A.W). Iliyoandaliwa na kampuni ya Nida textile na Namera Group (LTD) .




Waziri wa ulinzi na Usalama nchini Mhe. Hussein Mwinyi akizungumza Katika hafla hiyo, amewataka waislam kote nchini kudumisha amani na Umoja kwani amani Ndio mwanzo wa Kila kitu.





Amesema Umoja uliopo miongoni mwa waislamu uendelee kudumu,kwani kukiwa na amani na nchi pia inakuwa ya amani Kama ilivyo Sasa
Aidha Amesema kufuata mafundisho ya dini Pamoja na kuendelea kushinana ili kuendelea kusogeza mbele maendeleo ya nchi.

Hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es salaam imehudhuriwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Al Hassan mwinyi, Waziri wa Ulinzi, Dkt Hussein Mwinyi, Naibu Waziri wa Mifugo, Abadllah Ulega, Mufti Mkuu wa Tanzania, 

Aboubakary Zubery, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Bin Zubery, Masheikh wakuu wa mikoa mbalimbali pamoja na wageni kutoka nje ya nchi.



Hivyo makala WAISLAM DAR WAADDHIMISHA MAULIDI YA MAZAZI YA MTUME .

yaani makala yote WAISLAM DAR WAADDHIMISHA MAULIDI YA MAZAZI YA MTUME . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAISLAM DAR WAADDHIMISHA MAULIDI YA MAZAZI YA MTUME . mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waislam-dar-waaddhimisha-maulidi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAISLAM DAR WAADDHIMISHA MAULIDI YA MAZAZI YA MTUME ."

Post a Comment