title : WAFUGAJI WAMPA ZAWADI YA DUME RAIS DK JOHN MAGUFULI,WAANDAMANA KWA AMANI BABATI
kiungo : WAFUGAJI WAMPA ZAWADI YA DUME RAIS DK JOHN MAGUFULI,WAANDAMANA KWA AMANI BABATI
WAFUGAJI WAMPA ZAWADI YA DUME RAIS DK JOHN MAGUFULI,WAANDAMANA KWA AMANI BABATI
Wafugaji kutoka mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara wakiwa kwenye maandamano ya amani mjini Babati mkoa wa Manyara kumuunga mkono Rais John Magufuli kuhusu uamuzi alioutoa hivi karibuni juu haki za wafugaji nchini.
Wafugaji kutoka mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara wakiwa kwenye maandamano ya amani mjini Babati mkoa wa Manyara wakiwa na mifugo ambayo ni zawadi ya Rais John Magufuli kuhusu uamuzi alioutoa hivi karibuni juu haki za wafugaji nchini.
Wafugaji kutoka mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara wakiomba dua kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Manyara mjini Babati wakiwa na mifugo ambayo ni zawadi ya Rais John Magufuli kuhusu uamuzi alioutoa hivi karibuni juu haki za wafugaji nchini.
Mkuu wa wilaya ya Babati, Elizabeth Kitundu akizungumza baada ya kupokea maandamano ya wafugaji kwaniaba ya Mkuu wa mkoa wa Manyara.
Wafugaji wa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara wakiwa kwenye maandamano ya amani mjini Babati mkoa wa Manyara wakiwa na mifugo ambayo ni zawadi ya Rais John Magufuli kuhusu uamuzi alioutoa hivi karibuni juu haki za wafugaji nchini.
Mkuu wa wilaya ya Babati, Elizabeth Kitundu(kushoto) akipokea zawadi za mifugo kutoka kwa wafugaji baada ya kupokea maandamano ya amani ya wafugaji kwaniaba ya Mkuu wa mkoa wa Manyara.
Hivyo makala WAFUGAJI WAMPA ZAWADI YA DUME RAIS DK JOHN MAGUFULI,WAANDAMANA KWA AMANI BABATI
yaani makala yote WAFUGAJI WAMPA ZAWADI YA DUME RAIS DK JOHN MAGUFULI,WAANDAMANA KWA AMANI BABATI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAFUGAJI WAMPA ZAWADI YA DUME RAIS DK JOHN MAGUFULI,WAANDAMANA KWA AMANI BABATI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/wafugaji-wampa-zawadi-ya-dume-rais-dk.html
0 Response to "WAFUGAJI WAMPA ZAWADI YA DUME RAIS DK JOHN MAGUFULI,WAANDAMANA KWA AMANI BABATI"
Post a Comment