title : WADAU WA AFYA KUTAFUTA UFUMBUZI WA MATUMIZI SAHIHI YA TAKWIMU KWA WATOA HUDUMA WA SEKTA YA HIYO
kiungo : WADAU WA AFYA KUTAFUTA UFUMBUZI WA MATUMIZI SAHIHI YA TAKWIMU KWA WATOA HUDUMA WA SEKTA YA HIYO
WADAU WA AFYA KUTAFUTA UFUMBUZI WA MATUMIZI SAHIHI YA TAKWIMU KWA WATOA HUDUMA WA SEKTA YA HIYO
Mkurugenzi wa chuo cha madaktari wasaidizi Ifakara mkoani Morogoro Prof. Frola Kessy akielezea changamoto ya wahudumu wa afya katika kutoa takwimu sahihi na namna ya kuepuka na changamoto hiyo katika mkutano wa wadau wa afya mkoani Morogoro.
Wadau wa afya na wakufunzi kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini ikiwemo chuo kikuu cha Mzumbe, chuo kikuu cha Dodoma, kituo cha kimataifa cha mafunzo ya afya Ifakara na chuo kikuu cha Mhimbili wakifatilia kwa umakini mjadala wa namna takwimu zinazokusanywa jinsi ambavyo zinavyoshindwa kutumiwa ipasavyo na wahudumu wa afya.
Mtakwimu mkuu ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa(TAMISEM) Yasinta Kijuu akiwasilisha kwa wadau wa afya namna ambavyo serikali iliona mifumo ya takwimu usivyotumiwa ipasavyo na kuangalia jinsi ya kutatua changamoto hiyo katika mkutano wa wadau wa afya uliofanyika mkoani Morogoro ambapo alisema mwaka 2016 ndipo mchakato wa kutatua changamoto hiyo ya matumizi ya takwimu ulianza.
Wadau wa afya wakimfatilia kwa umakini katika mkutano wa wadau wa afya mkoani Morogoro mkufunzi wa chuo kikuu Mzumbe Dr,Mackfallen Anasel akizungumzuia jinsi ambavyo mitaala ya kufundishia inahitaji marekebisho katika swala la ukusanyaji na matumizi ya takwimu ili wahitimu wa vyuo waelewe matumizi sahihi ya takwimu hizo .
Makamu mkuu wa chuo taaluma,utafiti na ushauri kutoka chuo cha serikali za mitaa Hombolo Dodoma Dr, Michael Msendekwa akitoa ushauri wa jinsi gani ya kufikia utoaji wa huduma sahihi za afya kwa wananchi na jinsi ya kuodoa vikwazo vinavyo kwamisha matumizi sahihi ya takwimu katika kutoa maamuzi katika kikao cha wadau wa afya mkoani Morogoro.
Hivyo makala WADAU WA AFYA KUTAFUTA UFUMBUZI WA MATUMIZI SAHIHI YA TAKWIMU KWA WATOA HUDUMA WA SEKTA YA HIYO
yaani makala yote WADAU WA AFYA KUTAFUTA UFUMBUZI WA MATUMIZI SAHIHI YA TAKWIMU KWA WATOA HUDUMA WA SEKTA YA HIYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WA AFYA KUTAFUTA UFUMBUZI WA MATUMIZI SAHIHI YA TAKWIMU KWA WATOA HUDUMA WA SEKTA YA HIYO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/wadau-wa-afya-kutafuta-ufumbuzi-wa.html
0 Response to "WADAU WA AFYA KUTAFUTA UFUMBUZI WA MATUMIZI SAHIHI YA TAKWIMU KWA WATOA HUDUMA WA SEKTA YA HIYO"
Post a Comment