title : Uzinduzi wa Jengo Jipya la Upasuaji Hospitaliu ya Micheweni Kisiwani Pemba.
kiungo : Uzinduzi wa Jengo Jipya la Upasuaji Hospitaliu ya Micheweni Kisiwani Pemba.
Uzinduzi wa Jengo Jipya la Upasuaji Hospitaliu ya Micheweni Kisiwani Pemba.
Jengo la kisasa la sehemu ya upasuaji katika hospitali ya micheweni Pemba ambalo limefunguliwa na Waziri wa Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Salama Aboud Talib,ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Waziri wa Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Salama Aboud Talib akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa sehemu ya upasuaji katika hospitali ya Micheweni ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanziba
Waziri wa Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Salama Aboud Talib akiongozana viongozi mbali mbali katika sherehe ya ufunguaji wa sehemu ya upasuaji huko katika hospitali ya micheweni Pemba ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Micheweni Pemba wakiimbo wa “sisi sote tumegomboka’ mbele ya Waziri wa Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Salama Aboud Talib wakati wa ufunguzi wa sehemu ya upasuaji huko katika hospitali ya Micheweni ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya afya Zanzibar, Halima Maulid Salum akitoa maelezo ya ujenzi wa ukumbi wa upasuaji mbele ya Waziri wa Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Salama Aboud Talib wakati wa ufunguzi wa sehemu ya upasuaji huko katika hospitali ya Micheweni ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Waziri wa Ardhi,Maji,Nyumba na Nishati Salama Aboud Talib akizungumza na wananchi na Viongozi waliojitokezaa katika ufunguzi wa sehemu ya upasuaji katika hospitali ya Micheweni Pemba ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Viongozi mbali mbali wa Serikali wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Ardhi,Maji,Nyumba na Nishati Salama Aboud Talib wakati wa uzinduzi wa sehemu ya upasuaji katika hospitali ya Micheweni Pemba ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Wananchi mbali mbali wa Wilaya ya Micheweni wakimsikiliza mgeni rasmi Waziri wa Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Salama Aboud Talib wakati wa funguzi wa sehemu ya upasuaji huko katika hospitali ya Micheweni ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
(Picha na Said Abdulrahaman -Pemba.)
Hivyo makala Uzinduzi wa Jengo Jipya la Upasuaji Hospitaliu ya Micheweni Kisiwani Pemba.
yaani makala yote Uzinduzi wa Jengo Jipya la Upasuaji Hospitaliu ya Micheweni Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uzinduzi wa Jengo Jipya la Upasuaji Hospitaliu ya Micheweni Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/uzinduzi-wa-jengo-jipya-la-upasuaji.html
0 Response to "Uzinduzi wa Jengo Jipya la Upasuaji Hospitaliu ya Micheweni Kisiwani Pemba."
Post a Comment