title : TANZIA
kiungo : TANZIA
TANZIA
Ndugu Isaac Zumba wa Ngarenaro, Arusha. Anatangaza kifo cha mke wake Amabilis Zumba kilichotokea jana katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mwili unategemewa kuagwa kesho Ijumaa saa sita mchana, Muhimbili hospital-katoliki, na baada ya hapo kuelekea Arusha kwa ajili ya mazishi siku ya Jumanne tar 8 Januari. Salaam ziwafikie ndugu wote wa koo za Zumba na Mumba waishio ndani na nje ya nchi.
Hivyo makala TANZIA
yaani makala yote TANZIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/tanzia.html
0 Response to "TANZIA"
Post a Comment