Tanzania kufaidika na mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na Jinsia

Tanzania kufaidika na mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na Jinsia - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tanzania kufaidika na mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na Jinsia, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tanzania kufaidika na mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na Jinsia
kiungo : Tanzania kufaidika na mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na Jinsia

soma pia


Tanzania kufaidika na mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na Jinsia

 Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akizungumza na Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs  juu ya mradi  wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia Ofisini kwake Jijini Dodoma.
  Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa  akifafanaua jambo kwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs(kulia kwake )  na Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou(wa Tatu kulia) juu ya mradi  wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia Ofisini kwake Jijini Dodoma.
 Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akiongoza kikao cha kujadili juu ya mradi  wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia.Kikao hicho kimeudhuriwa na Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs(kulia kwake )  na Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou.Mradi huo wa miaka mitatu ambapo Tanzania itapata bilioni mbili ili kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia.
 Wajumbe kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakifuatilia kikao kati yao na Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs(kulia kwake )  na Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou ) juu ya mradi  wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia leo  Jijini Dodoma.
Wajumbe kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakifuatilia kikao kati yao na Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs(kulia kwake )  na Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou ) juu ya mradi  wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia leo  Jijini Dodoma. Picha zote na DAUDI MANONGI, DODOMA




Hivyo makala Tanzania kufaidika na mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na Jinsia

yaani makala yote Tanzania kufaidika na mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na Jinsia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tanzania kufaidika na mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na Jinsia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/tanzania-kufaidika-na-mradi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Tanzania kufaidika na mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na Jinsia"

Post a Comment