TAASISI YA DORIS MOLLEL YAENDESHA MAFUNZO YA 'KANGAROO' KWA WAUGUZI NCHINI

TAASISI YA DORIS MOLLEL YAENDESHA MAFUNZO YA 'KANGAROO' KWA WAUGUZI NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAASISI YA DORIS MOLLEL YAENDESHA MAFUNZO YA 'KANGAROO' KWA WAUGUZI NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAASISI YA DORIS MOLLEL YAENDESHA MAFUNZO YA 'KANGAROO' KWA WAUGUZI NCHINI
kiungo : TAASISI YA DORIS MOLLEL YAENDESHA MAFUNZO YA 'KANGAROO' KWA WAUGUZI NCHINI

soma pia


TAASISI YA DORIS MOLLEL YAENDESHA MAFUNZO YA 'KANGAROO' KWA WAUGUZI NCHINI

 Baadhi ya Wauguzi kutoka hospital mbalimbali nchini wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa warsha ya kuelimishana namna ya kuwasaidia wakina mama wanaojifungua watoto kabla ya wakati (Watoto Njiti) hasa katika kipindi cha kumuwezesha mtoto kupata joto lake (Kangaroo), iliyofanyika hivi karibuni jijiji Dar es salaam. Warsha hiyo ilioendeshwa na Taasisi ya Doris Mollel iliyojikitaka katika kusaidia wakinamama na watoto njiti nchini. 
Muuguzi Selina Pemba kutoka Mkoani Shinyanga akitoa somo kwa Wauguzi wenzake namna wanavyotakiwa kuwaelekeza wazazi ubebaji wa mtoto akiwa mdogo, wakati wa warsha ya kuelimishana namna ya kuwasaidia wakina mama wanaojifungua watoto kabla ya wakati (Watoto Njiti) hasa katika kipindi cha kumuwezesha mtoto kupata joto lake (Kangaroo), iliyofanyika hivi karibuni jijiji Dar es salaam.
 Muuguzi Bridgiter Cheyo kutoka Mkoani Pwani, akionyesha namna ya kumfunga Mama anayekuwa amemuweka Mtoto kifuani wakati wa Kangaroo. 
 Muuguzi Cleopatra Mtei kutoka hospitali ya Taifa Muhimbili ambaye ndiye aliyekuwa akiongoza Mafunzo hayo, akizungumza jambo wakati wa warsha ya kuelimishana namna ya kuwasaidia wakina mama wanaojifungua watoto kabla ya wakati (Watoto Njiti) hasa katika kipindi cha kumuwezesha mtoto kupata joto lake (Kangaroo), iliyofanyika hivi karibuni jijiji Dar es salaam.



Hivyo makala TAASISI YA DORIS MOLLEL YAENDESHA MAFUNZO YA 'KANGAROO' KWA WAUGUZI NCHINI

yaani makala yote TAASISI YA DORIS MOLLEL YAENDESHA MAFUNZO YA 'KANGAROO' KWA WAUGUZI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAASISI YA DORIS MOLLEL YAENDESHA MAFUNZO YA 'KANGAROO' KWA WAUGUZI NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/taasisi-ya-doris-mollel-yaendesha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAASISI YA DORIS MOLLEL YAENDESHA MAFUNZO YA 'KANGAROO' KWA WAUGUZI NCHINI"

Post a Comment