RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO JIPYA OFISI YA ZURA ZANZIBAR

RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO JIPYA OFISI YA ZURA ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO JIPYA OFISI YA ZURA ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO JIPYA OFISI YA ZURA ZANZIBAR
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO JIPYA OFISI YA ZURA ZANZIBAR

soma pia


RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO JIPYA OFISI YA ZURA ZANZIBAR



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la msingi Jengo Jipya litakalokuwa na Ghorofa Saba la Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar(ZURA)Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akiwa na Viongozi mbalimbali wakilitembelea Jengo Jipya litakalokuwa na Ghorofa Saba la Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar(ZURA)baada ya kuliwekea jiwe la Msingi Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
-Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Ali Khalil Mirza akisoma risala katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo Jipya litakalokuwa na Ghorofa Saba la Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar(ZURA)Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Ardhi Nyumba Maji na Nishati Salama Aboud Talib akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni Rasmi katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo Jipya litakalokuwa na Ghorofa Saba la Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar(ZURA)Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Jengo jipya litakalokuwa na Ghorofa Saba la Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar(ZURA)lililowekwa jiwe la msingi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar(ZURA)waliohudhuria katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo Jipya litakalokuwa na Ghorofa Saba la mamlaka hio Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO JIPYA OFISI YA ZURA ZANZIBAR

yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO JIPYA OFISI YA ZURA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO JIPYA OFISI YA ZURA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/rais-wa-zanzibar-dktshein-aweka-jiwe-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO JIPYA OFISI YA ZURA ZANZIBAR"

Post a Comment