title : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Ashuhudia Makabidhiano ya Mfumo wa Kuthibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS)
kiungo : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Ashuhudia Makabidhiano ya Mfumo wa Kuthibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS)
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Ashuhudia Makabidhiano ya Mfumo wa Kuthibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine meza kuu wakishuhudia makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) baina ya wakandarasi Bw. James Gabriel Claude CEO wa kampuni ya GVG na Samuel Kiki Gyan Mkurugenzi wa kampuni ya SGS na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Dkt. James Kilaba katika hafla iliyofanyika makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine akiwasili katika hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine akiwasili katika hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine meza kuu wakimsikiliza Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiongea machache wakati wa hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakipata picha ya kumbukumbu na viongozi wa dini katika hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya TCRA Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aakipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. James Kilaba katika hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya TCRA Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) Zacharia Kakobe katika hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya TCRA Jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2019
Hivyo makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Ashuhudia Makabidhiano ya Mfumo wa Kuthibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS)
yaani makala yote Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Ashuhudia Makabidhiano ya Mfumo wa Kuthibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Ashuhudia Makabidhiano ya Mfumo wa Kuthibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/rais-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_19.html
0 Response to "Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Ashuhudia Makabidhiano ya Mfumo wa Kuthibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS)"
Post a Comment