RAIS MAGUFULI AKEMEA TABIA YA MA-DC KUTUMIA VIBAYA SHERIA NA MAMLAKA WALIYONAYO YA KUWEKA WATU NDANI

RAIS MAGUFULI AKEMEA TABIA YA MA-DC KUTUMIA VIBAYA SHERIA NA MAMLAKA WALIYONAYO YA KUWEKA WATU NDANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI AKEMEA TABIA YA MA-DC KUTUMIA VIBAYA SHERIA NA MAMLAKA WALIYONAYO YA KUWEKA WATU NDANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI AKEMEA TABIA YA MA-DC KUTUMIA VIBAYA SHERIA NA MAMLAKA WALIYONAYO YA KUWEKA WATU NDANI
kiungo : RAIS MAGUFULI AKEMEA TABIA YA MA-DC KUTUMIA VIBAYA SHERIA NA MAMLAKA WALIYONAYO YA KUWEKA WATU NDANI

soma pia


RAIS MAGUFULI AKEMEA TABIA YA MA-DC KUTUMIA VIBAYA SHERIA NA MAMLAKA WALIYONAYO YA KUWEKA WATU NDANI

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

RAIS Dk.John Magufuli ametoa onyo kwa  Wakuu  Wilaya nchini  kuacha  kutumia vibaya sheria na mamlaka waliyopewa ya kuweka watu ndani.

Ametoa kauli hiyo leo Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe za  kuwaapisha majaji 15 wa Mahakama Kuu na Majaji sita wa Mahakama ya Rufaa ambapo ametumia nafasi hiyo kueleza umuhimu kwa wakuu wa wilaya nchini kutotumia sheria na mamlaka ya kuweka mtu ndani kwani sio haki pale unapomuweka mtu ndani bila kumfikisha mahakamani.

Rais Magufuli ameeleza hivi"Wakuu wa Wilaya msitumie vibaya sheria na mamlaka ya kumuweka mtu ndani.Unamuweka mtu ndani halafu unamtoa kwa madai amejifunza bila kumpeleka mahakamani,hii sio fair kabisa.

"Viongozi wengi wamezungumzia hii tabia na mimi naomba niirudie wakuu wa wilaya acheni kuweka watu ndani.Hivi na Mkuu wa Mkoa naye akiamua kuweka mtu ndani itakuaje,si itakuwa vurugu,"amesema Rais Magufuli.

Ameongeza kuwa kwanza saa nyingine kumuweka mtu ndani huenda isilete tija kwani sio kila jambo unataka kumuweka mtu ndani,mengine unatakiwa kutoa maelelezo tu na ikawa na matokeo mazuri zaidi.

Rais Magufuli ametumia nafasi hiyo kuelezea sababu za kumuondoa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Mwanga mkoani Kilimanjaro Aaron Mbogho ambaye amemuhamishia Kitengo cha Wadudu kwani yeye(Mbogho) ni mtalaam wa wadudu.

"Akiwa wilayani Mwanga yaliyokuwa yanatokea wote tumesikia,viongozi wamewekwa ndani na unapofuatilia unaona chanzo ni yeye.Katika mazungumzo yake amekuwa akisema kuwa yeye ndio mtalaam wa wadudu peke yake nchini Tanzania.

" Hivyo huenda na watu nao anawaona kama wadudu,hivyo nimeona kwa kuwa ni mtalaam katika eneo hili basi acha aende huko akachunguze vizuri wadudu,"amesema Rais Magufuli .


Hivyo makala RAIS MAGUFULI AKEMEA TABIA YA MA-DC KUTUMIA VIBAYA SHERIA NA MAMLAKA WALIYONAYO YA KUWEKA WATU NDANI

yaani makala yote RAIS MAGUFULI AKEMEA TABIA YA MA-DC KUTUMIA VIBAYA SHERIA NA MAMLAKA WALIYONAYO YA KUWEKA WATU NDANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AKEMEA TABIA YA MA-DC KUTUMIA VIBAYA SHERIA NA MAMLAKA WALIYONAYO YA KUWEKA WATU NDANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/rais-magufuli-akemea-tabia-ya-ma-dc.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS MAGUFULI AKEMEA TABIA YA MA-DC KUTUMIA VIBAYA SHERIA NA MAMLAKA WALIYONAYO YA KUWEKA WATU NDANI"

Post a Comment