RAIS DKT. MAGUFULI ASITISHA ZOEZI LA KUONDOA VIJIJI NA VITONGOJI VILIVYOPO NDANI YA MAENEO YA HIFADHI

RAIS DKT. MAGUFULI ASITISHA ZOEZI LA KUONDOA VIJIJI NA VITONGOJI VILIVYOPO NDANI YA MAENEO YA HIFADHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI ASITISHA ZOEZI LA KUONDOA VIJIJI NA VITONGOJI VILIVYOPO NDANI YA MAENEO YA HIFADHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI ASITISHA ZOEZI LA KUONDOA VIJIJI NA VITONGOJI VILIVYOPO NDANI YA MAENEO YA HIFADHI
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI ASITISHA ZOEZI LA KUONDOA VIJIJI NA VITONGOJI VILIVYOPO NDANI YA MAENEO YA HIFADHI

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI ASITISHA ZOEZI LA KUONDOA VIJIJI NA VITONGOJI VILIVYOPO NDANI YA MAENEO YA HIFADHI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamis Kigwangala, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt.John Kijazi,Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega,Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamuhanga pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Doroth Mwanyika  kuhusu kusitisha zoezi la kuwaondoa Wananchi wanaoishi katika Vijiji na Vitongoji vilivyopo katika maeneo ya Hifadhi. Ikulu Jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamis Kigwangala, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt.John Kijazi,Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega,Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamuhanga pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Doroth Mwanyika  mara baada ya kumaliza mazungumzo na viongozi hao  kuhusu kusitisha zoezi la kuwaondoa Wananchi wanaoishi katika Vijiji na Vitongoji vilivyopo katika maeneo ya Hifadhi. Ikulu Jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamis Kigwangala, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt.John Kijazi, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega, Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamuhanga pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Doroth Mwanyika  mara baada ya kumaliza mazungumzo na viongozi hao  kuhusu kusitisha zoezi la kuwaondoa Wananchi wanaoishi katika Vijiji na Vitongoji vilivyopo katika Maeneo ya Hifadhi za Taifa. Ikulu Jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019
 PICHA NA IKULU



Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI ASITISHA ZOEZI LA KUONDOA VIJIJI NA VITONGOJI VILIVYOPO NDANI YA MAENEO YA HIFADHI

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI ASITISHA ZOEZI LA KUONDOA VIJIJI NA VITONGOJI VILIVYOPO NDANI YA MAENEO YA HIFADHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI ASITISHA ZOEZI LA KUONDOA VIJIJI NA VITONGOJI VILIVYOPO NDANI YA MAENEO YA HIFADHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/rais-dkt-magufuli-asitisha-zoezi-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI ASITISHA ZOEZI LA KUONDOA VIJIJI NA VITONGOJI VILIVYOPO NDANI YA MAENEO YA HIFADHI"

Post a Comment