RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDA MAKABIDHIANO YA MFUMO WA KUTHIBITI MAWASILIANO YA NDANI NA NJE YA NCHI (TTMS)

RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDA MAKABIDHIANO YA MFUMO WA KUTHIBITI MAWASILIANO YA NDANI NA NJE YA NCHI (TTMS) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDA MAKABIDHIANO YA MFUMO WA KUTHIBITI MAWASILIANO YA NDANI NA NJE YA NCHI (TTMS), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDA MAKABIDHIANO YA MFUMO WA KUTHIBITI MAWASILIANO YA NDANI NA NJE YA NCHI (TTMS)
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDA MAKABIDHIANO YA MFUMO WA KUTHIBITI MAWASILIANO YA NDANI NA NJE YA NCHI (TTMS)

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDA MAKABIDHIANO YA MFUMO WA KUTHIBITI MAWASILIANO YA NDANI NA NJE YA NCHI (TTMS)

 : Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine akiwasili katika hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine meza kuu wakimsikiliza Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiongea machache wakati wa hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2019.

 Mkurugenzi Mkuu wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. James Kilaba akiwa kapigwa na butwaa na baadaye kushukuru wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipomhakikishia kumwongeza mkataba wa miaka mitano kuongoza taasisi hiyo katika  hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya TCRA  Jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika  hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2019.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na viongozi wengine wakipata picha ya kumbukumbu na viongozi wa dini katika  hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya TCRA  Jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aakipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. James Kilaba   katika  hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya TCRA  Jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) Zacharia Kakobe  katika  hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya TCRA  Jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na  viongozi wengine meza kuu  wakishuhudia makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) baina ya wakandarasi Bw. James Gabriel Claude CEO wa kampuni ya GVG na Samuel Kiki Gyan Mkurugenzi wa kampuni ya SGS na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA  Dkt. James Kilaba katika hafla iliyofanyika makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2019.

PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDA MAKABIDHIANO YA MFUMO WA KUTHIBITI MAWASILIANO YA NDANI NA NJE YA NCHI (TTMS)

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDA MAKABIDHIANO YA MFUMO WA KUTHIBITI MAWASILIANO YA NDANI NA NJE YA NCHI (TTMS) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDA MAKABIDHIANO YA MFUMO WA KUTHIBITI MAWASILIANO YA NDANI NA NJE YA NCHI (TTMS) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/rais-dkt-magufuli-ashuhuda-makabidhiano.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDA MAKABIDHIANO YA MFUMO WA KUTHIBITI MAWASILIANO YA NDANI NA NJE YA NCHI (TTMS)"

Post a Comment