title : RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA WIZARA YA MADINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA WIZARA YA MADINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA WIZARA YA MADINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha mjadala na wadau wa madini nchini wakati wa Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Jumanne Januari 22, 2019. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Jumanne Januari 22, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wadau wa Madini baada ya kuhudhuria na kuhutubia Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Jumanne JanuarI 22, 2019
Picha na Ikulu.
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA WIZARA YA MADINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA WIZARA YA MADINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA WIZARA YA MADINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/rais-dkt-magufuli-ahudhuria-mkutano.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA WIZARA YA MADINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO"
Post a Comment