MWANAFUNZI AIBURUZA SHULE MAHAKAMANI.

MWANAFUNZI AIBURUZA SHULE MAHAKAMANI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWANAFUNZI AIBURUZA SHULE MAHAKAMANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWANAFUNZI AIBURUZA SHULE MAHAKAMANI.
kiungo : MWANAFUNZI AIBURUZA SHULE MAHAKAMANI.

soma pia


MWANAFUNZI AIBURUZA SHULE MAHAKAMANI.

Wanafunzi wa chuo cha St. John nchini Zimbabwe ameupeleka uongozi wa chuo hicho mahakamani, baada ya kuzuiwa kuingia chuoni kwa kosa la kufuga ndevu.

Baba wa mtoto huyo Bw. Mohammed Ismail, amefungua shtaka rasmi kwa niaba ya mtoto wake kwenye Mahakama Kuu ya nchi hiyo, akidai kwamba kitendo hicho ni kuvunja katiba ya nchi na unyanyasaji.

Akiendelea kuelezea tukio hilo, Bw. Mohamed amesema kwamba mtoto wake huyo amekuwa akirudishwa mara kwa mara na uongozi wa chuo, ili anyoe nywele wakidai kuwa anakiuka sheria za chuo.

Baba huyo amesema kwamba suala hilo linaruhusiwa kwa mujibu wa dini yao ya Kiislam na kwamba mtoto wake alikuwa anasoma ili aje kuwa 'Imam', lakini uongozi wa chuo hauruhusu suala hilo, jambo ambalo limekuwa likimpa shida mwanafunzi huyo kwa kurudishwa nyumbani mara kwa mara.


Hata hivyo Mahakama ya nchi hiyo bado haijataja tarehe ya kusikiliza kesi hiyo


Hivyo makala MWANAFUNZI AIBURUZA SHULE MAHAKAMANI.

yaani makala yote MWANAFUNZI AIBURUZA SHULE MAHAKAMANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWANAFUNZI AIBURUZA SHULE MAHAKAMANI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/mwanafunzi-aiburuza-shule-mahakamani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MWANAFUNZI AIBURUZA SHULE MAHAKAMANI."

Post a Comment