MWANACHUO NCHINI MISRI AFUKUZWA CHUO KWA KUMKUMBATIA MWANAUME HADHARANI

MWANACHUO NCHINI MISRI AFUKUZWA CHUO KWA KUMKUMBATIA MWANAUME HADHARANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWANACHUO NCHINI MISRI AFUKUZWA CHUO KWA KUMKUMBATIA MWANAUME HADHARANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWANACHUO NCHINI MISRI AFUKUZWA CHUO KWA KUMKUMBATIA MWANAUME HADHARANI
kiungo : MWANACHUO NCHINI MISRI AFUKUZWA CHUO KWA KUMKUMBATIA MWANAUME HADHARANI

soma pia


MWANACHUO NCHINI MISRI AFUKUZWA CHUO KWA KUMKUMBATIA MWANAUME HADHARANI

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
MWANAMKE mmoja nchini Misri amefukuzwa chuo baada ya kuonekana akimkumbatia mwanaume katika moja ya video iloyosambaa katika mitandao.

Binti huyo amefukuzwa katika chuo cha Al -Azhar akishutumiwa kujidharilisha yeye na chuo baada ya kuonekana akimkumbatia mwanaume huyo katika video ambayo ilichukuliwa katika chuo cha Mansoura nchini humo.

Baraza la nidhamu la chuo cha Al- Azhar lililokaa siku ya jumamosi liliamua kumfukuza Chuo binti huyo, Msemaji wa baraza hilo Ahmed Zarie alieleza vyombo vya habari.

Imeelezwa kuwa video hiyo imeleta picha mbaya kwa chuo hicho kitu ambacho hakiruhusiwi aidha imefahamishwa kuwa kukumbatiana baina ya mwanamke na mwanaume ambao hawajaolewa sio maadili wala taratibu za jamii ya taifa hilo.

Kwa upande wa kijana aliyeonekana kwenye video, msemaji wa baraza hilo amesema kuwa watakaa leo jumatatu na kufanya maamuzi dhidi yake. 

Chanzo: Daily Mail


Hivyo makala MWANACHUO NCHINI MISRI AFUKUZWA CHUO KWA KUMKUMBATIA MWANAUME HADHARANI

yaani makala yote MWANACHUO NCHINI MISRI AFUKUZWA CHUO KWA KUMKUMBATIA MWANAUME HADHARANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWANACHUO NCHINI MISRI AFUKUZWA CHUO KWA KUMKUMBATIA MWANAUME HADHARANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/mwanachuo-nchini-misri-afukuzwa-chuo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MWANACHUO NCHINI MISRI AFUKUZWA CHUO KWA KUMKUMBATIA MWANAUME HADHARANI"

Post a Comment