MKUU WA OPERESHENI MAALUM ZA JESHI LA POLISI NCHINI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIKOSI CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MKOA WA MTWARA

MKUU WA OPERESHENI MAALUM ZA JESHI LA POLISI NCHINI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIKOSI CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MKOA WA MTWARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA OPERESHENI MAALUM ZA JESHI LA POLISI NCHINI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIKOSI CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MKOA WA MTWARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA OPERESHENI MAALUM ZA JESHI LA POLISI NCHINI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIKOSI CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MKOA WA MTWARA
kiungo : MKUU WA OPERESHENI MAALUM ZA JESHI LA POLISI NCHINI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIKOSI CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MKOA WA MTWARA

soma pia


MKUU WA OPERESHENI MAALUM ZA JESHI LA POLISI NCHINI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIKOSI CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MKOA WA MTWARA

Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas, akizungumza na kikosi Maalum cha kupambana na uhalifu katika viwanja vya Kikosi cha kutuliza Ghasia Mkoa wa Mtwara, baada ya kuwasili katika ziara yake ya kikazi akitokea mkoani Ruvuma. (Picha na Jeshi la Polisi) 
Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas, akishiliki mazoezi ya pamoja na kikosi maalum cha kupamba na na uhalifu Mkoa wa Mtwara baada ya kuwasili katika ziara yake  mkoani humo.
Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas aliesimama katikati, akimsikiliza Mkaguzi wa Polisi INSP, Idd Kimia wa kushoto kwake wakati akiangalia utayali wa kikosi cha kupambana na uhalifu Mkoa wa Mtwara  ambacho hakipo pichani. 
Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas katikati na kulia kwake ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara ACP Joseph M.Konyo wakiwa katika picha ya pamoja na kikosi maalum cha kupambana na Uhalifu mkoani humo. (Picha na Jeshi la Polisi).


Hivyo makala MKUU WA OPERESHENI MAALUM ZA JESHI LA POLISI NCHINI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIKOSI CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MKOA WA MTWARA

yaani makala yote MKUU WA OPERESHENI MAALUM ZA JESHI LA POLISI NCHINI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIKOSI CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MKOA WA MTWARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA OPERESHENI MAALUM ZA JESHI LA POLISI NCHINI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIKOSI CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MKOA WA MTWARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/mkuu-wa-operesheni-maalum-za-jeshi-la_30.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKUU WA OPERESHENI MAALUM ZA JESHI LA POLISI NCHINI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIKOSI CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MKOA WA MTWARA"

Post a Comment