title : MCHUNGAJI MASHIMO AZUNGUMZIA SAKATA LA CAG.
kiungo : MCHUNGAJI MASHIMO AZUNGUMZIA SAKATA LA CAG.
MCHUNGAJI MASHIMO AZUNGUMZIA SAKATA LA CAG.
Mchungaji wa Mitume, Manabii na Maaskofu Tanzania Commando Mashimo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imetakiwa kuliomba radhi bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania kutokana na kauli aliyotoka kuwa bunge hilo kuwa ni dhaifu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Mchungaji wa Mitume, Manabii na Maaskofu Tanzania Commando Mashimo, amesema kuwa nauli ya CAG sio rafiki kwa serikali.
Mchungaji Mashimo amesema kuwa ni vyema busara itumike ili kuhakikisha amani inapatikana kwa kuomba radhi.
"Ni vizuri busara ikatumika katika kutatua suala la CAG jambo ambalo litasaidia taifa kuendelea kuwa na amani" amesema Mchungaji Mashimo.
Hata hivyo amewataka viongozi kutumia madaraka vizuri katika utekelezaji wa majukumu yao.

Hivyo makala MCHUNGAJI MASHIMO AZUNGUMZIA SAKATA LA CAG.
yaani makala yote MCHUNGAJI MASHIMO AZUNGUMZIA SAKATA LA CAG. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MCHUNGAJI MASHIMO AZUNGUMZIA SAKATA LA CAG. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/mchungaji-mashimo-azungumzia-sakata-la.html
0 Response to "MCHUNGAJI MASHIMO AZUNGUMZIA SAKATA LA CAG."
Post a Comment