MCHUNGAJI MASHIMO AMPONGEZA RAIS DKT. MAGUFULI.

MCHUNGAJI MASHIMO AMPONGEZA RAIS DKT. MAGUFULI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MCHUNGAJI MASHIMO AMPONGEZA RAIS DKT. MAGUFULI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MCHUNGAJI MASHIMO AMPONGEZA RAIS DKT. MAGUFULI.
kiungo : MCHUNGAJI MASHIMO AMPONGEZA RAIS DKT. MAGUFULI.

soma pia


MCHUNGAJI MASHIMO AMPONGEZA RAIS DKT. MAGUFULI.

Mchungaji wa Mitume, Manabii na Maaskofu Tanzania Commando Mashimo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Na Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
Vyama vya siasa nchini na watanzania wametakiwa kuendelea kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika k mipango ya kufanikisha maendeleo pamoja na kutenda haki katika utendaji wake.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Mchungaji wa Mitume, Manabii na Maaskofu Tanzania Commando Mashimo, amesema kuwa kutokana na utendaji wa Dkt. Magufuli kila mtanzania anapaswa kumuunga mkono.

Mchungaji Mashimo, amesema kuwa Dkt. Magufuli ni mtumishi wa mungu wa kwanza katika nchi hii ambaye amekuwa akitende haki kwa kila mtu.

"Nampongeza Rais Dkt. Magufuli katika utendaji wake, naamini ni kiongozi mzuri ambaye ataendelea kuliongoza taifa la Tanzania" amesema Mchungaji Mashimo.

Mchungaji Mashimo amefafanua kuwa ameshangaa kuwaona baadhi ya wanasiasa wanaoendelea kupinga juhudi za Rais Dkt. Magufuli.

Amesema kuwa kwa sasa vyama vya upizani vinapaswa kukaa kimya, kwani wakiendelea kumpinga hawataweza kufanikisha.








Hivyo makala MCHUNGAJI MASHIMO AMPONGEZA RAIS DKT. MAGUFULI.

yaani makala yote MCHUNGAJI MASHIMO AMPONGEZA RAIS DKT. MAGUFULI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MCHUNGAJI MASHIMO AMPONGEZA RAIS DKT. MAGUFULI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/mchungaji-mashimo-ampongeza-rais-dkt.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MCHUNGAJI MASHIMO AMPONGEZA RAIS DKT. MAGUFULI."

Post a Comment