title : MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE
kiungo : MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE
MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE
Na Said Mwishehe, Globu ya jamii
MSHEHERESHAJI aliyekuwa kwenye ubora wake kwa sasa nchini Tanzania Emmanuel Mathias a.k.a MC Pilipili amesema kwa sasa anasubiri Nassib Abdull aoe na kisha naye afuatie.
MC Pilipili amesema anafahamu ‘Caple’inayosumbua nchini Tanzania ni yake na ile ya Diamond. “Nasubiri tu Diamond afanye mambo yake pale Uwanja wa Taifa na baada ya hapo name nifanye yangu. na Diamond.
MC Pilipili amesema hayo wakati mashabiki wake na Watanzania kwa ujumla wanaofuatilia nyendo zake wanakumbuka namna ambavyo amemwaga chozi hadharani wakati anamvisha pete ya uchumba mpenzi wake.
Hivyo makala MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE
yaani makala yote MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/mc-pilipili-asema-anamsubiri-diamond.html
0 Response to "MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE"
Post a Comment