MAONESHO YA PICHA ZA HABARI DUNIANI YAZINDULIWA LEO ALIANCE FRANCAIS JIJINI DAR

MAONESHO YA PICHA ZA HABARI DUNIANI YAZINDULIWA LEO ALIANCE FRANCAIS JIJINI DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAONESHO YA PICHA ZA HABARI DUNIANI YAZINDULIWA LEO ALIANCE FRANCAIS JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAONESHO YA PICHA ZA HABARI DUNIANI YAZINDULIWA LEO ALIANCE FRANCAIS JIJINI DAR
kiungo : MAONESHO YA PICHA ZA HABARI DUNIANI YAZINDULIWA LEO ALIANCE FRANCAIS JIJINI DAR

soma pia


MAONESHO YA PICHA ZA HABARI DUNIANI YAZINDULIWA LEO ALIANCE FRANCAIS JIJINI DAR

 Mtayarishaji wa Mashindano ya upigaji picha kutoka World Press, Sophie Boshouwers akizumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam kabla ya kufunguliwa Maonesho ya Picha Duniani katika Ukumbi wa Aliance Francai's
Mkuu wa Idara ya Mission katika Ubalozi wa Falme za Uholanzi nchini,Lianne Houben akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Maonesho kwa siku ya wapiga picha za Habari Duniani yanayofanyika leo Aliance Francai's
Kaimu Mkurugenzi wa Chama Cha Waandishi wa Hbari Wanawake(TAMWA),Davis Lumala akiongelea ushiriki wa TAMWA katika Maonesho hayo kabambe
Mkurugenzi wa kituo cha Utamduni cha watu wa Ufaransa nchini Tanzania,Aliance Francais ,Frederic Tiberti akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu kituo chake kujihusisha na Maonesho mbalimbali.
 Mtayarishaji wa Mashindano ya upigaji picha kutoka World Press, Sophie Boshouwers akitoa maelezo kwa moja ya waandishi wa Habari




Hivyo makala MAONESHO YA PICHA ZA HABARI DUNIANI YAZINDULIWA LEO ALIANCE FRANCAIS JIJINI DAR

yaani makala yote MAONESHO YA PICHA ZA HABARI DUNIANI YAZINDULIWA LEO ALIANCE FRANCAIS JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAONESHO YA PICHA ZA HABARI DUNIANI YAZINDULIWA LEO ALIANCE FRANCAIS JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/maonesho-ya-picha-za-habari-duniani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAONESHO YA PICHA ZA HABARI DUNIANI YAZINDULIWA LEO ALIANCE FRANCAIS JIJINI DAR"

Post a Comment