MAKAMU WA RAIS AFUNGA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA MADINI

MAKAMU WA RAIS AFUNGA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA MADINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AFUNGA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA MADINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AFUNGA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA MADINI
kiungo : MAKAMU WA RAIS AFUNGA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA MADINI

soma pia


MAKAMU WA RAIS AFUNGA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA MADINI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye ukumbi wa mkutano tayari kufunga Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Madini ulioandaliwa na Wizara ya Madini ambapo wachimbaji wadogo, wafanyabiashara na wadau wa madini walikutana kwa siku mbili katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia  wakati wa kufunga Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Madini ulioandaliwa na Wizara ya Madini ambapo wachimbaji wadogo, wafanyabiashara na wadau wa madini walikutana kwa siku mbili katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Waziri wa Madini Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza wakati  hafla ya kufunga Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Madini ulioandaliwa na Wizara ya Madini ambapo wachimbaji wadogo, wafanyabiashara na wadau wa madini walikutana kwa siku mbili katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimaji Wadogo (FEMATA) Ndugu John Binna (kushoto) akimkabidhi maadhimio ambayo yamejumuisha maoni na mapendekezo ya kuboresha biashara na shughuli za uchimbaji madini kwa Waziri wa Madini Mhe. Doto Mashaka Biteko (katikati), kulia Makamu wa Rais akishuhudia makabidhiano hayo mara baada ya Mkutano Mkuu wa Kisekta ulioandaliwa na Wizara ya Madini kukamilika.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe, Samia Suluhu Hassan akipokea maadhimio ya wachimbaji wadogo, wafanyabiashara na wadau wa madini  kutoka kwa Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko mara baada ya kufunga Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Madini uliofanyika
kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe, Samia Suluhu Hassan akisoma maadhimio ya wachimbaji wadogo, wafanyabiashara na wadau wa madini  mara baada ya kuyapokea wengine pichani Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko (katikati) na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimaji Wadogo (FEMATA) Ndugu John Binna (kushoto) mara baada ya kufunga Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Madini uliofanyika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFUNGA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA MADINI

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFUNGA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA MADINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFUNGA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA MADINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/makamu-wa-rais-afunga-mkutano-mkuu-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFUNGA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA MADINI"

Post a Comment