MAJALIWA AZINDUA X- RAY YA KIDIGITALI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA

MAJALIWA AZINDUA X- RAY YA KIDIGITALI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA AZINDUA X- RAY YA KIDIGITALI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA AZINDUA X- RAY YA KIDIGITALI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA
kiungo : MAJALIWA AZINDUA X- RAY YA KIDIGITALI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA

soma pia


MAJALIWA AZINDUA X- RAY YA KIDIGITALI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua  X-Ray ya kidigitali kwenye hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Ruvuma, Januari 5, 2019.  Kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt, Faustine Ndugulile na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_5739
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu Mashine ya Kidigitali aliyoizindua katika hospitali ya Mkoa wa Ruvuma kutoka Mtalaam wa tiba ya mionzi (Medical Technologist), Lincleth Gingo kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma mjini Songea, Januari 5,2019. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme na wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Wtoto, Dkt. Faustine Ndugulile. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_5787
PMO_5803
Wananchi wa Songea wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kuzindua Mashine ya  X-Ray ya Kidigitali kwenye hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Ruvuma, Januari 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_5605
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza taarifa ya Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Majura Magafu kuhusu ukarabati wa Jengo la Wakinamama wajawazito wanaosubiri kujifungua katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma mjini Songea, Januari 5, 2019. Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile,  wapili kulia ni Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga na kushoto  ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme.



Hivyo makala MAJALIWA AZINDUA X- RAY YA KIDIGITALI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA

yaani makala yote MAJALIWA AZINDUA X- RAY YA KIDIGITALI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AZINDUA X- RAY YA KIDIGITALI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/majaliwa-azindua-x-ray-ya-kidigitali_5.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAJALIWA AZINDUA X- RAY YA KIDIGITALI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA"

Post a Comment