MAENDELEO KATIKA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA

MAENDELEO KATIKA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAENDELEO KATIKA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAENDELEO KATIKA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA
kiungo : MAENDELEO KATIKA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA

soma pia


MAENDELEO KATIKA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA

 Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma Bw.Meshach Bandawe akionesha hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa jengo la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora linalojengwa ndani ya mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma  leo wakati wa ziara yakukagua maendeleo ya ujenzi wa mji wa Serikali.
 Muonekano wa jengo la Ofisi ya Rais,  Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora linalojengwa ndani ya mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma  kama linavyoonekana ambapo ujenzi wake unatarajia kukamilika katika muda uliopangwa.
  Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma Bw. Meshach Bandawe akionesha kazi ya usimikaji wa miundombinu ya umeme inayofanywa na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) katika mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma.
 Mkadiriaji Majenzi kutoka  Vikosi vya Ujenzi vya Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Bi Selemina Rutambanzibwa akieleza hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa jengo la Wizara hiyo kwa Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma  Bw. Meshach Bandawe leo wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MAENDELEO KATIKA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA

yaani makala yote MAENDELEO KATIKA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAENDELEO KATIKA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/maendeleo-katika-ujenzi-wa-mji-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAENDELEO KATIKA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA"

Post a Comment