title : Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.
kiungo : Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.
Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum, Dkt. Mary Mwanjelwa, Bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati na Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Mwanne Nchemba kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama (wapili kulia), Mbunge wa Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwako (kushoto), Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (wapili kushoto) na Mbunge wa Igunga, Dkt. Dalaly Kafumu , kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama (wapili kulia), Mbunge wa Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwako (kushoto), Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (wapili kushoto) na Mbunge wa Igunga, Dkt. Dalaly Kafumu , kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 30, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.
yaani makala yote Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/kutoka-bungeni-leo-jijini-dodoma_30.html
0 Response to "Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma."
Post a Comment