KAMPUNI ZINAZOSAMBAZA NGUZO ZATAKIWA KULIPA USHURU KWA MUJIBU WA SHERIA-WAZIRI MKUU

KAMPUNI ZINAZOSAMBAZA NGUZO ZATAKIWA KULIPA USHURU KWA MUJIBU WA SHERIA-WAZIRI MKUU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI ZINAZOSAMBAZA NGUZO ZATAKIWA KULIPA USHURU KWA MUJIBU WA SHERIA-WAZIRI MKUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI ZINAZOSAMBAZA NGUZO ZATAKIWA KULIPA USHURU KWA MUJIBU WA SHERIA-WAZIRI MKUU
kiungo : KAMPUNI ZINAZOSAMBAZA NGUZO ZATAKIWA KULIPA USHURU KWA MUJIBU WA SHERIA-WAZIRI MKUU

soma pia


KAMPUNI ZINAZOSAMBAZA NGUZO ZATAKIWA KULIPA USHURU KWA MUJIBU WA SHERIA-WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kampuni zote zinazosambaza nguzo za umeme zinatakiwa zilipe ushuru wa halmashauri wanakotoa nguzo hizo ambao ni asilimia tano ya gharama ya kila nguzo kama ilivyoelekezwa na Sheria ya Fedha za Serikali za Mitaa.

Ametoa agizo hilo leo (Jumatatu, Januari 7, 2019) baada ya kupata taarifa kuhusu kampuni ya New Forest ambayo inamkataba na TANESCO wa kusambaza nguzo za umeme, kwa muda mrefu kampuni hiyo imekuwa ikikaidi kulipa ushuru wa asilimia tano ya gharama ya kila nguzo. Ushuru huo umefikia sh. bilioni 2.9 hali iliyopelekea uongozi wa mkoa kuzuia nguzo hizo zisitoke.

Wiki iliyopita akiwa katika ziara ya mkoa Ruvuma, Waziri Mkuu alipokea malalamiko kuhusu mkoa wa Iringa kuzuia kusambazwa kwa nguzo za umeme ndipo alipoamua kuwaita Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Happi pamoja na wakuu wa wilaya, wakurugenzi pamoja na wenyeviti wa halmashauri wanaotoka katika wilaya zinazozalisha nguzo.

Viongozi wengine waliohudhuria kikao hicho ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemevu, Jenista Mhagama, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Josephat Kandege, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, Naibu Waziri Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya pamoja na maafisa wengine wa Serikali.

Amesema lengo la kikao hicho lilikuwa kupata ufafanuzuzi kuhusu malalamiko yaliyotolewa dhidi ya uongozi wa mkoa wa Iringa kuhusu kuzuia usafirishaji wa nguzo za umeme zinazotomika kwenye miradi ya Kusambaza Nishati ya Umeme Vijiji (REA).



Hivyo makala KAMPUNI ZINAZOSAMBAZA NGUZO ZATAKIWA KULIPA USHURU KWA MUJIBU WA SHERIA-WAZIRI MKUU

yaani makala yote KAMPUNI ZINAZOSAMBAZA NGUZO ZATAKIWA KULIPA USHURU KWA MUJIBU WA SHERIA-WAZIRI MKUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI ZINAZOSAMBAZA NGUZO ZATAKIWA KULIPA USHURU KWA MUJIBU WA SHERIA-WAZIRI MKUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/kampuni-zinazosambaza-nguzo-zatakiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KAMPUNI ZINAZOSAMBAZA NGUZO ZATAKIWA KULIPA USHURU KWA MUJIBU WA SHERIA-WAZIRI MKUU"

Post a Comment