Kampuni ya Guru na Manispaa Ilala waanda Tamasha la Wafanyabiashara

Kampuni ya Guru na Manispaa Ilala waanda Tamasha la Wafanyabiashara - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kampuni ya Guru na Manispaa Ilala waanda Tamasha la Wafanyabiashara, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kampuni ya Guru na Manispaa Ilala waanda Tamasha la Wafanyabiashara
kiungo : Kampuni ya Guru na Manispaa Ilala waanda Tamasha la Wafanyabiashara

soma pia


Kampuni ya Guru na Manispaa Ilala waanda Tamasha la Wafanyabiashara



Na Heri Shaban
Mwambawahabari
KAMPUNI ya Guru Planet Kwa kushirikiana na Manispaa ya Ilala Wanatarajia kufanya Tamasha la Wajasiriamali January 29 Mwaka huu.

Tamasha hilo linatarajia kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wilayani Ilala Dar es Salam ambapo Wajasiliamali watapata fursa mbalimbali.


Akizungumza Dar es Salam leo Mkurugenzi wa Kampuni ya Guru Planet Nickson Martin alisema Tamasha hilo wameshirikiana na Idara ya Maendeleo ya Jamii Manispaa Ilala dhumuni la Tamasha hilo kuwapa fursa Wajasiriamali waweze kutangaza Biashara zao na kubadilishana uzoefu.


"Katika Tamasha hili litakuwa  siku tatu Mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Ilala sophia Mjema ambapo kauli Mbiu ya Mwaka huu  alisema Ujasiriamali ni chachu ya kukuza UCHUMI wa nchi Kwa Maendeleo ya Viwanda tumia fursa zilizopo wacha kulalamika "alisema Martin..

Martin alisema katika tamasha hilo Wajasiriamali watapata fursa mbalimbali kutoka katika taasisi na mashirika mbalimbali  ambapo kutakuwepo fursa ya mikopo ya nyumba  Wajasiriamali ,mikopo ya viwanja, Bima ya Afya, na mifuko ya Hifadhi ya Jamii NSSF.

Pia kutakuwepo na fursa za kuelimishwa na kupata fursa kutoka Kwa Shirika la Viwango  TBS, Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania TFDA, GS1,na wadau wa Maendeleo wa kutoa mikopo  ya riba nafuu .

Aidha alisema pia TANTRADE, TPSF, na TCCIA watakuwepo siku hiyo ambapo washiriki wote ambao wanaitaji kushiriki katika tamasha hilo kujiandikisha Jina la vikundi vyao makao Makuu ya Guru yaliopo TABATA Mtambani au Manispaa ya Ilala kwa OFISA MAENDELEO YA JAMII ILALA.

 Kampuni ya Guru planet   ilipewa kibali  na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kufanya kazi ya kuwasaidia Wajasiriamali kupata MASOKO ya bidhaa zao        Pamoja na utoaji wa elimu kwa Wajasiriamali ndani ya Manispaa hiyo.




Hivyo makala Kampuni ya Guru na Manispaa Ilala waanda Tamasha la Wafanyabiashara

yaani makala yote Kampuni ya Guru na Manispaa Ilala waanda Tamasha la Wafanyabiashara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kampuni ya Guru na Manispaa Ilala waanda Tamasha la Wafanyabiashara mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/kampuni-ya-guru-na-manispaa-ilala.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kampuni ya Guru na Manispaa Ilala waanda Tamasha la Wafanyabiashara"

Post a Comment