JPM, Ampongeza Felix Tshisekedi Kwa Kutangazwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC

JPM, Ampongeza Felix Tshisekedi Kwa Kutangazwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JPM, Ampongeza Felix Tshisekedi Kwa Kutangazwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JPM, Ampongeza Felix Tshisekedi Kwa Kutangazwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC
kiungo : JPM, Ampongeza Felix Tshisekedi Kwa Kutangazwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC

soma pia


JPM, Ampongeza Felix Tshisekedi Kwa Kutangazwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC

 Image result for rais magufuli amtumbua

Baada ya Mahakama Kuu ya Kikatiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kumtangaza Kiongozi wa upinzani, Bw. Felix Tshisekedi kuwa mshindi wa uchaguzi wa Urais, Rais John Magufuli amempongeza Rais huyo mteule na kumuahidi kuendeleza ushirikiano.

Rais Magufuli ametoa pongezi hizo  Januari 20, ambapo mbali na kumpongeza Rais Mteule amewapongeza pia raia wa Kongo akiwataka kuduisha  amani.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais Magufuli ameandika, "Kufuatia hukumu ya Mahakama Kuu ya Katiba. Ninampongeza Felix Tshisekedi juu ya uchaguzi wake kama Rais wa DRC.

"Ninapongeza pia Wakongo wote, ninawasihi kudumisha amani . Ninaahidi kuendeleza uhusiano wetu wa kihistoria na wa kindugu".

Katika uchaguzi huo uliofanyika Desemba 30 2018, Mgombea Martin Fayulu alidai kuwa ndiye mshindi wa kiti hicho cha Urais, amezitaka Jumuiya za kimataifa kutomtambua Tshisekedi, akidai kuwa yeye ndiye mshindi halali wa uchaguzi huo.


Hivyo makala JPM, Ampongeza Felix Tshisekedi Kwa Kutangazwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC

yaani makala yote JPM, Ampongeza Felix Tshisekedi Kwa Kutangazwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JPM, Ampongeza Felix Tshisekedi Kwa Kutangazwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/jpm-ampongeza-felix-tshisekedi-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JPM, Ampongeza Felix Tshisekedi Kwa Kutangazwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC"

Post a Comment