JAJI MKUU AWATAKA WASAJILI WA MAHAKAMA NCHINI KUHAKIKISHA KESI ZOTE ZENYE DOSARI HAZIINGI KWENYE MFUMO WA MAHAKAMA

JAJI MKUU AWATAKA WASAJILI WA MAHAKAMA NCHINI KUHAKIKISHA KESI ZOTE ZENYE DOSARI HAZIINGI KWENYE MFUMO WA MAHAKAMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAJI MKUU AWATAKA WASAJILI WA MAHAKAMA NCHINI KUHAKIKISHA KESI ZOTE ZENYE DOSARI HAZIINGI KWENYE MFUMO WA MAHAKAMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAJI MKUU AWATAKA WASAJILI WA MAHAKAMA NCHINI KUHAKIKISHA KESI ZOTE ZENYE DOSARI HAZIINGI KWENYE MFUMO WA MAHAKAMA
kiungo : JAJI MKUU AWATAKA WASAJILI WA MAHAKAMA NCHINI KUHAKIKISHA KESI ZOTE ZENYE DOSARI HAZIINGI KWENYE MFUMO WA MAHAKAMA

soma pia


JAJI MKUU AWATAKA WASAJILI WA MAHAKAMA NCHINI KUHAKIKISHA KESI ZOTE ZENYE DOSARI HAZIINGI KWENYE MFUMO WA MAHAKAMA

Na Karama Kenyunko globu ya Jamii. 

JAJI Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahimu Juma amewataka wasajili wa mahakama zote nchini kuhakiksha kesi zenye dosari haziingii kwenye Mfumo wa mahakama yoyote hapa nchini.

Profess Juma, ameyasema hayo leo Aprili 25.2019 Jijini Dar e Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhudu maadhimisho ya wiki na siku ya sheria nchini, Ambayo hufanyika kila mwanzoni mwa mwaka yanayoashiria kuanza rasmi kwa mwaka wa Mahakama. 

Amesema kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu Mahakama ya Rufaa pamoja na mahakama Kuu kutupilia mbali mashauri mbalimbali yanayopelekwa ambapo amebainisha kuwa hali hiyo inatokanana  na dosari zinazojitokeza kwe kesi hizo.

Amesema, watu wengi wanalalamikia Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu kutupilia mbali Mashauri kwa sababu ya dosari zinazojitokeza na kujiuliza kama Mahakama haiko makini ama la.

Muhimbili wa mahakama upo wazi sana, kila kitu tunachokifanya kinapimika, unapofungua kesi unapewa muda wa kujibu, unaleta mashahidi, kesi inarekodiwa, hukumu inatolewa,"Hatupendezwi na malalamiko ya jumla jumla kwani kuna mfumo wa kupokea malalamiko, sisi tupo wazi na 

Huwezi kuwazuia Wanasiasa wasizungumze ndio kazi yao, sisi tunafanya kazi kimya kimya na ukitaka majibu utayakuta katika nyaraka" amesema Jaji Profesa Juma.Aidha amemsifu Msajili aliyesimama kidete kukataa kusajili kesi yenye dosari, nampongeza kwa ujasiri, tuna Majaji wachache hatutaki kuwapangia kesi nyingi kisha wazifute" amesema Jaji Mkuu. 

Kwa upande mwingine, aJi profesa Juma amewata wananchi ambao wamezoea kubeba mabango ya malalamiko, siku kilele cha wiki ya sheria waache kufanya hivyo na badala yake watumie wiki ya sheria kutafuta suluhu ya malalamiko hayo,ambayo mwaka huu Kitaifa itafanyikia jijini Dodoma katika viwanja vya Nyerere Square kuanzia Januari 31 na kuitimishwa Februari 6.2019 jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamuhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika siku ya kilele hicho ambacho kauli mbiu yake itakuwa ni, Utoaji wa Haki kwa wakati: wajibu wa Mahakama na wadau.

Pamoja na mambo mengine Jaji Profesa Juma amesema mashauri mengi ya kesi yanachelewa kumalizika kutokana na uelewa mdogo wa wannchi ikiwa ni pamoja na kutokufahamu miongozo ya mashauri mbalimbali paomja na haki zao.

Achilia mbali hayo pia amebainsha mafanikio ambayo wameweza kuyapata tofuati na miaka mingine ikiwa ni pamoja na kuanzisha matumizi ya usajili wa mashauri kwa njia ya elektroniki huku akisema kuwa licha ya njia hizo bado kasi ya mawakili kisajili mashauri bado ni ndogo


Hivyo makala JAJI MKUU AWATAKA WASAJILI WA MAHAKAMA NCHINI KUHAKIKISHA KESI ZOTE ZENYE DOSARI HAZIINGI KWENYE MFUMO WA MAHAKAMA

yaani makala yote JAJI MKUU AWATAKA WASAJILI WA MAHAKAMA NCHINI KUHAKIKISHA KESI ZOTE ZENYE DOSARI HAZIINGI KWENYE MFUMO WA MAHAKAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAJI MKUU AWATAKA WASAJILI WA MAHAKAMA NCHINI KUHAKIKISHA KESI ZOTE ZENYE DOSARI HAZIINGI KWENYE MFUMO WA MAHAKAMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/jaji-mkuu-awataka-wasajili-wa-mahakama.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JAJI MKUU AWATAKA WASAJILI WA MAHAKAMA NCHINI KUHAKIKISHA KESI ZOTE ZENYE DOSARI HAZIINGI KWENYE MFUMO WA MAHAKAMA"

Post a Comment