title : GAVANA SHILATU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA ZAHANATI*
kiungo : GAVANA SHILATU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA ZAHANATI*
GAVANA SHILATU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA ZAHANATI*
*~ Wananchi waanika hali ilivyo*
Na Ripota wetu, Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe, Emmanuel Shilatu amefanya ziara ya kushtukiza kwenye Zahanati ya Mkoreha iliyopo Kata ya Mkoreha ili kubaini ukweli juu ya huduma zitolewazo.
Gavana Shilatu alitembelea Leo Jumatano Januari 23, 2019 ambapo amebaini uwepo wa huduma nzuri inayoghubikwa na changamoto ya uwingi wa Wagonjwa na kutoa maagizo kwa watoa huduma kuongeza kasi ya utoaji huduma.
*"Wananchi wanakiri huduma ni nzuri, nawapongeza. Japo Kuna changamoto ya uwingi wa Wagonjwa. Nawapa maelekezo Wauguzi jitahidini kuongeza kasi ya Watu kuhudumiwa kwa haraka, muhakikishe mnatoa dawa kwani nimeziona zipo nyingi.",Alisema Gavana Shilatu.
Gavana Shilatu amewasihi Wauguzi kuzingatia maadili, nidhamu, miiko na uwajibikaji zaidi kazini ili kuleta tija zaidi kwani maendeleo ya Watu yanategemea zaidi uwepo wa afya njema.

Hivyo makala GAVANA SHILATU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA ZAHANATI*
yaani makala yote GAVANA SHILATU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA ZAHANATI* Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala GAVANA SHILATU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA ZAHANATI* mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/gavana-shilatu-afanya-ziara-ya.html
0 Response to "GAVANA SHILATU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA ZAHANATI*"
Post a Comment