GAVANA SHILATU AAGIZA MADARASA KUFUNGULIWA MARA MOJA

GAVANA SHILATU AAGIZA MADARASA KUFUNGULIWA MARA MOJA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa GAVANA SHILATU AAGIZA MADARASA KUFUNGULIWA MARA MOJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : GAVANA SHILATU AAGIZA MADARASA KUFUNGULIWA MARA MOJA
kiungo : GAVANA SHILATU AAGIZA MADARASA KUFUNGULIWA MARA MOJA

soma pia


GAVANA SHILATU AAGIZA MADARASA KUFUNGULIWA MARA MOJA



Na Mwandishi wetu Mihambwe

Afisa Tarafa Mihambwe Gavana Emmanuel Shilatu ameagiza Madarasa mawili mapya yaliyojengwa Shule ya Sekondari ya Mkoreha kumaliziwa vyema na kufunguliwa Mara moja ili Wanafunzi waanze kusomea Mara moja.

Agizo hilo amelitoa Leo Ijumaa Januari 18, 2019 alipotembelea na kukagua ulipofikia ujenzi wa Madarasa hayo akiwa amembatana na Mtendaji Kata Mkoreha pamoja na Mwalimu Mkuu Sekondari ya Mkoreha ambao pia ni Wajumbe kamati ya ujenzi Madarasa hayo.

*"Madarasa yanapendeza kiukweli. Naagiza yakamilishwe vyema kabisa na Mara moja yaanze kutumika kuanzia wiki ijayo. Nisisikie hadithi nyingine, nataka kuona Wanafunzi wanaanza kusomea Mara moja."* Aliagiza Gavana Shilatu.

Wakati huo huo Gavana Shilatu ameongea na kuwapongeza Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mkoreha ambao wamekwisha ripoti na kuanza kusoma na kuwasihi kuzingatia zaidi elimu na kupeleka salaam kwa waliochelewa kuripoti kufika shuleni haraka.

*"Nawapongeza nyote kwa kuripoti shuleni, msome kwa bidii. Pia fikisheni salaam kwa wenzenu ambao bado wapo nyumbani waje shuleni haraka iwezekanavyo."* alisema Gavana Shilatu wakati akiongea na Wanafunzi hao.
 



Hivyo makala GAVANA SHILATU AAGIZA MADARASA KUFUNGULIWA MARA MOJA

yaani makala yote GAVANA SHILATU AAGIZA MADARASA KUFUNGULIWA MARA MOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala GAVANA SHILATU AAGIZA MADARASA KUFUNGULIWA MARA MOJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/gavana-shilatu-aagiza-madarasa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "GAVANA SHILATU AAGIZA MADARASA KUFUNGULIWA MARA MOJA"

Post a Comment