DC JOKATE ALIA NA UKOSEFU WA MAJI KISARAWE

DC JOKATE ALIA NA UKOSEFU WA MAJI KISARAWE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC JOKATE ALIA NA UKOSEFU WA MAJI KISARAWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC JOKATE ALIA NA UKOSEFU WA MAJI KISARAWE
kiungo : DC JOKATE ALIA NA UKOSEFU WA MAJI KISARAWE

soma pia


DC JOKATE ALIA NA UKOSEFU WA MAJI KISARAWE

Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwangelo amemuomba Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Jumaa Aweso kuhakikisha Wilaya hiyo inapata Maji yakutosha kutokana nakuwepo changamoto kubwa ya upatikanaji wa Maji hayo.
Akizungumza na Watendaji wa Wilaya hiyo wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso - Jokate ameshukuru kuwepo mradi wa Maji unaotoka Ruvu Juu, amesema mradi huo umekaa kimkakati kutokana na Wilaya hiyo kuwa na Viwanda vingi.
Hata hivyo, Jokate amesema maendeleo ya Wilaya ya Kisarawe yamekwamishwa kwa ukosefu wa Maji Safi na Salama hivyo kuna nia yakuhakikisha Maji hayo yanapatikana.
‘’Haileti maana kama Kisarawe haina Miundombinu yakuwezesha Viwanda mbalimbali kustawi, hata uwepo wa Bandari na Kiwanja cha Ndege’’, amesisitiza Jokate.
‘’Watu wengi wamekuwa na imani Kisarawe kuwa sio eneo la Makazi, wengi wanaishi Gongo la Mboto, Chanika kutokana nakukosekana huduma ya maji’’, ameeleza Jokate.
Jokate ameshukuru kuwepo ziara ya Naibu Waziri wa Maji ambapo amemuomba kuangalia kwa umakini miradi hiyo, Je inatekelezwa ipasavyo?
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Jumaa Aweso akisisitiza jambo wakati alipowasili katika Ofoisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe kwa ajili ya ziara yake yakutembelea miradi mbalimbali ya Maji Wilayani humo.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwangelo akizungumza jambo mbele ya Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso wakati wa ziara yake yakutembelea miradi mbalimbali ya Maji Wirani Kisarawe Mkoa wa Pwani.


Hivyo makala DC JOKATE ALIA NA UKOSEFU WA MAJI KISARAWE

yaani makala yote DC JOKATE ALIA NA UKOSEFU WA MAJI KISARAWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC JOKATE ALIA NA UKOSEFU WA MAJI KISARAWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/dc-jokate-alia-na-ukosefu-wa-maji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC JOKATE ALIA NA UKOSEFU WA MAJI KISARAWE"

Post a Comment