BREAKING NEWS: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA KIKATIBA ILIYOFUNGULIWA NA VYAMA PINZANI

BREAKING NEWS: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA KIKATIBA ILIYOFUNGULIWA NA VYAMA PINZANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWS: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA KIKATIBA ILIYOFUNGULIWA NA VYAMA PINZANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWS: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA KIKATIBA ILIYOFUNGULIWA NA VYAMA PINZANI
kiungo : BREAKING NEWS: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA KIKATIBA ILIYOFUNGULIWA NA VYAMA PINZANI

soma pia


BREAKING NEWS: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA KIKATIBA ILIYOFUNGULIWA NA VYAMA PINZANI

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeitupilia mbali kesi ya kikatiba  iliyofunguliwa na viongozi wa vyama vya upinzani. ikiongozwa na kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo,  Zitto Kabwe, Naibu Katibu Mkuu CUF Bara Joram Bashange, na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Umma ya CUF.Salim Biman ya kupinga muswaada wa mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa uliochapishwa na gazeti la serikali ili kujadiliwa bungeni. 

Uamuzi huo umetolewa leo Januari 14, 2019 na Jaji Dr Benhajj Masoud ambaye amesema ameridhika na mapingamizi mawili ya awali yaliyowasilishwa na mwanasheria mkuu wa serikali.

Kupitia jopo la mawakili wa serikali sita, Mwanasheria Mkuu wa Serikali alipinga kesi hiyo kusikilizwa kwa vile waombaji waliunganisha maombi mawili kwa wakati mmoja yenye mtazamo na madhara tofauti.


Hivyo makala BREAKING NEWS: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA KIKATIBA ILIYOFUNGULIWA NA VYAMA PINZANI

yaani makala yote BREAKING NEWS: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA KIKATIBA ILIYOFUNGULIWA NA VYAMA PINZANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA KIKATIBA ILIYOFUNGULIWA NA VYAMA PINZANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/breaking-news-mahakama-kuu-yatupilia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BREAKING NEWS: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA KIKATIBA ILIYOFUNGULIWA NA VYAMA PINZANI"

Post a Comment