BANKA KUANZA KUVAA UZI WA YANGA FEBRUARI 8 MWAKA HUU.

BANKA KUANZA KUVAA UZI WA YANGA FEBRUARI 8 MWAKA HUU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BANKA KUANZA KUVAA UZI WA YANGA FEBRUARI 8 MWAKA HUU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BANKA KUANZA KUVAA UZI WA YANGA FEBRUARI 8 MWAKA HUU.
kiungo : BANKA KUANZA KUVAA UZI WA YANGA FEBRUARI 8 MWAKA HUU.

soma pia


BANKA KUANZA KUVAA UZI WA YANGA FEBRUARI 8 MWAKA HUU.

Na Ripota wetu, blogu ya Jamii 

Uongozi wa klabu ya Yanga umebainisha Kiungo Mohammed Issa 'Banka' aliyekuwa akikipiga kandanda Mtibwa Sugar amebakisha wiki tatu amalize adhabu yake ya miezi 14 aliyofungiwa na FIFA kutokana na matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku za kuongeza nguvu akiwa mchezoni. 

Banka aliyesajiriwa na Klabu ya Yanga msimu huu 2018 -19 ambaye pia hajaitumikia hata mara moja timu hiyo kutokana na sakata hilo, ataanza rasmi kuvaa uzi wa Yanga February 08 2019 adhabu yake itakapokuwa imemalizika.

Uongozi huo unasema kuwa Mchezaji banka tangu mwezi uliopita aliruhusiwa kujifua na kikosi cha Yanga kujiweka sawa kabla adhabu yake haijamalizika na kurejea dimbani.Hata hivyo Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ameeleza kuvutiwa na kiungo huyo akimsifu kuwa ni aina ya wachezaji anaopenda kufanya kazi nao.

Baada ya kocha huyo kufanya nae mazoezi kwa Muda mfupi amesema kuwa amebaini kiungo huyo atakuwa msaada mkubwa kwa kikosi cha Yanga ambacho sasa kimeweka dhamira ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu huu.

"Nimevutiwa sana na Banka ukimuona uwanjani mazoezini utagundua kwamba ni mchezaji ambaye licha ya kuwa nje kwa muda mrefu lakini alikuwa akizingatia nidhamu ya mwili, nilikuwa nahitaji sana mtu kama huyu katika timu yangu, " amesema Zahera

Vile vile kocha Zahera ameeleza kuwa katika mazoezi ya Yanga Banka ameonyesha uwezo mkubwa katika majukumu ya ukabaji, kuchezesha timu na hata kufunga vitu ambavyo vitaipa nguvu timu yake katika mzunguko wa pili.
Mchezaji Mohammed Issac Banka.


Hivyo makala BANKA KUANZA KUVAA UZI WA YANGA FEBRUARI 8 MWAKA HUU.

yaani makala yote BANKA KUANZA KUVAA UZI WA YANGA FEBRUARI 8 MWAKA HUU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BANKA KUANZA KUVAA UZI WA YANGA FEBRUARI 8 MWAKA HUU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/banka-kuanza-kuvaa-uzi-wa-yanga.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BANKA KUANZA KUVAA UZI WA YANGA FEBRUARI 8 MWAKA HUU."

Post a Comment