ARUMERU YAENDELEA KUUNGWA MKONO NA WADAU,YAKABIDHIWA AWAMU YA KWANZA YA MIFUKO 100 YA SARUJI

ARUMERU YAENDELEA KUUNGWA MKONO NA WADAU,YAKABIDHIWA AWAMU YA KWANZA YA MIFUKO 100 YA SARUJI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ARUMERU YAENDELEA KUUNGWA MKONO NA WADAU,YAKABIDHIWA AWAMU YA KWANZA YA MIFUKO 100 YA SARUJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ARUMERU YAENDELEA KUUNGWA MKONO NA WADAU,YAKABIDHIWA AWAMU YA KWANZA YA MIFUKO 100 YA SARUJI
kiungo : ARUMERU YAENDELEA KUUNGWA MKONO NA WADAU,YAKABIDHIWA AWAMU YA KWANZA YA MIFUKO 100 YA SARUJI

soma pia


ARUMERU YAENDELEA KUUNGWA MKONO NA WADAU,YAKABIDHIWA AWAMU YA KWANZA YA MIFUKO 100 YA SARUJI

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Cornel Muro  ameendelea kuungwa mkono na wadau wa Maendeleo Kwa kukabidhiwa awamu ya kwanza ya Mifuko 100 ya Saruji kutoka katika Kampuni ya Farm Acces Ltd kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi 100 Arumeru.

Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa saruji hiyo Ndugu Muro mbali na kushukuru Kwa msaada huo , amepongeza jitihada zinazofanywa na  kampuni hiyo ambayo bado haijaanza uzalisha wa Dawa za mifugo lakini wameweza kuchangia mifuko 100 Kwa awamu ya kwanza na kuwataka wadau wengine kuunga mkono juhudi Za ujenzi wa vyumba vya madarasa .

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Dkt. Saimoni amepongeza juhudi zinazofanywa  Mkuu wa Wilaya ya Arumeru chini ya serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mhe. Rais John Pombe Magufuli na kusisitiza kutoa msaada zaidi pindi watakapoanza uzalishaji kiwandani hapo.

Wadau hao wa maendeleo Waliahidi kuchangia mifuko 200 ya Saruji na kwa Awamu ya kwanza wamemkabidhi Dc Muro mifuko 100 ya saruji na kuahaidi ndani ya muda mfupi watamkabidhi tena Mkuu wa Wilaya mifuko 100 mingine iliyobakia.

Dc Muro anaendelea na ziara yake ya kuhamasisha, na kusimamia ujenzi wa vyumba vya madarasa vya shule mbalimbali Za sekondari katika Wilaya ya Arumeru Kwa lengo la kumaliza changamoto ya madarasa kuanzia shule Za msingi, sekondari na kidato Cha tano na sita .
 Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Cornel Muro  ameendelea kuungwa mkono na wadau wa Maendeleo Kwa kukabidhiwa awamu ya kwanza ya Mifuko 100 ya Saruji kutoka katika Kampuni ya Farm Acces Ltd kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi 100 Arumeru.
 


Hivyo makala ARUMERU YAENDELEA KUUNGWA MKONO NA WADAU,YAKABIDHIWA AWAMU YA KWANZA YA MIFUKO 100 YA SARUJI

yaani makala yote ARUMERU YAENDELEA KUUNGWA MKONO NA WADAU,YAKABIDHIWA AWAMU YA KWANZA YA MIFUKO 100 YA SARUJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ARUMERU YAENDELEA KUUNGWA MKONO NA WADAU,YAKABIDHIWA AWAMU YA KWANZA YA MIFUKO 100 YA SARUJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/arumeru-yaendelea-kuungwa-mkono-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ARUMERU YAENDELEA KUUNGWA MKONO NA WADAU,YAKABIDHIWA AWAMU YA KWANZA YA MIFUKO 100 YA SARUJI"

Post a Comment